Tuhuma ya kuruhusia kupomoa misikiti inayo makaburi na kuhalalisha damu za wanaoyazuru, na kupomoa misikiti ya Mashia
Daesh na makundi mengine ya kigaidi yanadai kuwa kupomoa makaburi hasa yanayowafuata Wasufi ni halai, na wanahalalisha kumwaga damu za wanaoyazuru wakidai kwamba ni mahali pa kufuru na kuabudu masanamu. Kwa upande mwingine, mmoja wa wanamgambo...
Saturday, 19 August, 2017
Kuwakafirisha baadhi ya waislamu na kuwasifu kama ni makafiri na walioritadi kwani hawakuunga mkono dola ya khilafa iliyojulikana kwa jina la Daesh
Hakika suala la imani na ukafiri katika Uislamu ni suala lililomo baina ya mja na Mola wake mlezi…. kama alivyotufundisha Mtume (S.A.W) kwamba tuamiliana na watu kwa matamshi ya ndimi zao, na wala hatuhukumu juu ya vitendo vya nyoyo za...
Wednesday, 16 August, 2017
Damu ya mkafiri ni halali!
Imekuja katika makali: “ Uislamu ni dini ya misingi ya kibusara ambao umejengwa juu yake uadilifu wa kweli na utukufu . mmoja wa misingi hiyo kuwa ni lazima kupambana  na watu wote hadi wafuate Uislamu au wawe chini ya utawala wake...
Monday, 14 August, 2017
Kudai kwamba anayekanusha baadhi ya mambo ya dini basi atakuwa ni mkafiri
Kwa mujibu wa kauli yake Mwenyezi Mungu Mtukufu: )Je! Mnaamini baadhi ya Kitabu na mnakataa baadhi yake? Basi hana malipo mwenye kutenda hayo miongoni mwenu ila hizaya katika maisha ya duniani, na Siku ya Kiyama watapelekwa kwenye adhabu kali...
Thursday, 10 August, 2017
Maoni ya Kituo cha Al-Azhar cha kupambana na mawazo makali kuhusu toleo la Al-Shabab "Je Umeridhia"
Kituo cha Al-Azhar cha kupambana na mawazo makali kinaona kwamba toleo la Kundi la Al-Shabab ni hatari sana kwa sababu linaweza kuwaathiri baadhi ya vijana wenye upendeleo wa kidini, jambo ambalo kundi la Al-Shabab linalitumia katika hotuba yake...
Tuesday, 8 August, 2017
First4546474850525354Last