Tuhuma ya kutoomba dua ya Mwenyezi Mungu kwa wasio waislamu
 Kuijibu tuhuma: Katika kitabu cha Ibn Abi Shaybah kuna sura inayozungumzia kuhusu mayahudi na wakristo na ametajwa hadithi na athari kadhaa iliyozungumzia kuhusu suala la kumwomba dua ya Mwenyezi Mungu kwa mkristo na myahudi: miongoni...
Tuesday, 5 September, 2017
Tuhuma ya kumkafirisha mwingine
      Tuhuma hii ni miongoni mwa tuhuma zinzokaririwa na makundi yenye misimamo mikali kama "kundi la Taliban Na kundi la Daesh", ili yahalalishe halifu na vitendo vyao vya kikatili, na ili kuwavuta wenye akili dhaifu na...
Tuesday, 29 August, 2017
Tuhuma ya kubomoa mabaki ya kale wakidai kuwa ni masanamu
Kundi la Daesh limedai kwamba inapaswa kuharibu na kubomoa masanamu na mabaki ya kale ya dola ya Ashuria yaliyopo mjini Mosel nchini Iraq, wakidai kuwa na masanamu, wakitegemea hadithi za Mtume (S.A.W) na kauli zilizonukuliwa kutoka kwa maswahaba...
Sunday, 27 August, 2017
Hakimiyah "Utawala" na tuhuma ya kuwakufurisha watawala
Daesh na makundi mengineyo ya kitakfiri  yanadai kwamba watawala wa nchi za kiislamu ni makafiri kwani wanaziunga mkono serikali kafiri za kimagharibi, na kuzisaidia kuwauwa waislamu, zaidi ya hayo wao hawahukumu kwa sheria ya Mwenyezi...
Thursday, 24 August, 2017
Mkutano wa Imamu Mkuu na Rais wa Somalia
Mheshimiwa Imamu Mkuu wa Al-Azhar Profesa; Ahmad Al-Tayyib alimpokea leo Bwana Mohammad Abdullah Farmajo Rais wa Somalia aliyeanza ziara rasmi nchini Misri leo. Mwanzoni kabisa Imamu Mkuu alimpongeza Bwana Farmajo kwa ushindi wake katika uchaguzi...
Monday, 21 August, 2017
First3456789101112Last