Katika ziara yake ya kwanza barani Afrika… Mheshimiwa Imamu Mkuu afanya ziara nchini Senegal na Nigeria kwa lengo la kuimarisha maadili ya amani na kueneza mawazo ya kukubaliana
Mheshimiwa Imamu mkuu profesa; Ahmad Al-Tayyib sheikhi mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif na mkuu wa baraza la wakuu wa waislamu katika kipindi cha siku chache zijazo ataanza ziara yake ya kwanza barani Afrika tangu kushika madaraka ya kuendesha...
Tuesday, 10 May, 2016
Hotuba ya Imamu Mkuu kwenye kongamano la "Nguzo za Amani katika Dini Tofauti" Katika Chuo Kikuu cha Monester, Ujerumani
Hotuba ya Imamu Mkuu kwenye kongamano la "Nguzo za Amani katika Dini Tofauti" Katika Chuo Kikuu cha Monester, Ujerumani Bibi Mheshimiwa Profesa; Orsola Neles Mkuu wa Chuo Kikuu cha Monester Enyi Mabwana Wanavyuoni Maprofesa na...
Saturday, 19 March, 2016
Imamu Mkuu katika mkutano wake na Askofu wa Kanisa la Kiinjili mjini Berlin, Ujerumani
Imamu Mkuu katika mkutano wake na Askofu wa Kanisa la Kiinjili mjini Berlin, Ujerumani: •    Ziara yangu mjini Berlin inalengea kuhuisha uhusiano wa kudumu baina ya dini mbili Uislamu na Ukristo. •  ...
Friday, 18 March, 2016
Dondoo za hotuba ya Imamu Mkuu kwenye kongamano la "Nguzo za Amani katika Dini Tofauti" Katika Chuo Kikuu cha Monester
•    Ugaidi ulioenea ulimwenguni ukiachwa kukua na kupata nguvu basi wanadamu wote watarudi kwa hali ya fujo na unyama. •    Vita vya kisasa havikusidii maadui wa nje, bali vianlengea wananchi wasio na...
Thursday, 17 March, 2016
Katika ziara yake kwa Ukumbi wa Kihistoria wa Amani mjini Monester …. Imamu Mkuu wa Al- Azhar: Amani baina ya mataifa hutegemea mazungumzo baina ya dini
Katika ziara yake kwa Ukumbi wa Kihistoria wa Amani mjini Monester …. Imamu Mkuu wa Al- Azhar: Amani baina ya mataifa hutegemea mazungumzo baina ya dini Kwa kuitika mwaliko wa mkuu wa mji wa Monester nchini...
Thursday, 17 March, 2016
12345678910Last