Daesh: kumpwekesha kuna Sehemu kadhaa, kama kupwekesha Hakimiyah, yaani kukiri kwamba hukumu ni kwa Mwenyezi Mungu peke yake, na kwamba anayehukumiana kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu, basi ni mkafiri
     Al-hakimiyyah (Utawala) ni istilahi ya kisasa iliyotumiwa kwa mara ya kwanza na "Abu Al-Aa'la Al-Maududi" alipokuwa anajitahidi kupata uhuru wa nchi yake kutoka mkono wa ukoloni wa Uingereza, na wakati...
Thursday, 28 September, 2017
Daesh: kuwasiliana na kutendeana na asiye mwislamu inavunja msingi wa utii "Al-Walaa" na uasi "Al-Baraa" katika Uislamu
      Kutendeana na asiye mwislamu na kusaidiana naye katika mambo, maslahi za pamoja haiwezekani kuwa haramu, na dalili ya hayo ni kwamba Mtume (S.A.W) alitendeana na akawasiliana na wasio waislamu na hakukataza kufanya...
Monday, 25 September, 2017
Daesh: Kumpenda asiye mwislamu ni ukafiri
     Maneno haya ni makosa kwani Mtume (S.A.W) alikuwa anampenda ami yake Abu Talib ingawa alikuwa hafuati Uislamu, bali Qurani Tukufu ilithibitisha kuwepo upendo wa kimoyo kwa wasio waislamu, ambapo Mwenyezi Mungu Amesema:...
Friday, 22 September, 2017
Daesh: waislamu wanapaswa kutokubali mfumo wowote wa kisiasa isipokuwa Khilafa iliyoletwa na Uislamu
      Mfumo wa utawala katika Uislamu hutegemea hali ya watu na desturi zao kwa sharti ya kutokuwa na kanuni  inayopinga sheria ya Mwenyezi Mungu (S.W), ambapo haikuwepo aya moja au hadithi moja wazi na sahihi...
Tuesday, 19 September, 2017
Suala la kuvaa (Shela) Niqaab
     Katika wakati huu tuhuma zinazohusiana na (Shela) Niqaab zinajadiliwa sana na kusema kwamba ni uzushi ulioingizwa katika jamii ya kiislamu, ilhali ukweli ni kwamba tuhuma hii ni kinyume cha kauli isemayo kwamba kuvaa...
Sunday, 17 September, 2017
12345678910Last