Kundi la Daesh linamtukuka kiongozi wake na linamsifu kama ni amiri wa waumini na khalifa wa Mtume (S.A.W), hivyo wafuasi wa Daesh wanazitii amri zake na wanaacha mambo aliyoyakataza
     Mwandishi ametaja katika makala ya "njia za kushinda", sehemu ya pili, toleo la tano kutoka gazeti la Rumia, kwamba miongoni mwa sababu za kushinda ni kumfuata amiri wa waumini na kumtii katika hali zote. Akitoa...
Thursday, 14 September, 2017
Muhtasari wa Taarifa ya Al-Azhar kuhusu maangamizi ya waislamu Warohinga nchini Myanmar
- Waislamu Warohinga wanateseka kutoka uadui wa kikatili usiojulikana na wanadamu kabla ya hapo. - Kutojali kwa mataifa ni sababu kuu ya ukiukaji huo wa kinyama dhidi ya waislamu nchini Myanmar. - Azimio na mikataba ya kimataifa iliyojihusisha...
Sunday, 10 September, 2017
kuhalalisha Daesh kuhusu kuwaua watu wanaohitilafiana nao kwa kuwachoma moto
     Hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu Amewatukuza wanadamu wakiwa hai au wamekufa, kwa hivyo Mwenyezi Mungu Anasema: {Na hakika tumewatukuza wanadamu, na tumewapa vya kupanda nchi kavu na baharini, na tumewaruzuku vitu vizuri vizuri,...
Sunday, 10 September, 2017
Tuhuma ya kutowatii makafiri miongoni mwa hukumu za Al-Walaa "utii" na Al-Baraa "uasi"
     Hii ni tuhuma ambayo kundi la Daesh linaitegemea, ili kuendeleza maana ya utii na uasi kwa mujibu wa mtazamo wake kali na potovu kuhusu ukafirishaji, maana anayekataa kukubali mawazo yao uongo, anakuwa mkafiri na ameritadi....
Thursday, 7 September, 2017
Tuhuma ya kutoomba dua ya Mwenyezi Mungu kwa wasio waislamu
 Kuijibu tuhuma: Katika kitabu cha Ibn Abi Shaybah kuna sura inayozungumzia kuhusu mayahudi na wakristo na ametajwa hadithi na athari kadhaa iliyozungumzia kuhusu suala la kumwomba dua ya Mwenyezi Mungu kwa mkristo na myahudi: miongoni...
Tuesday, 5 September, 2017
First234567891011Last