Taarifa ya Al-Azhar Al-Shareif katika Sikuu kuu ya Amani duniani
Ulimwengu hushereheka kila mwaka tarehe ishirini na moja mwezi wa Septemba kwa sikuu kuu ya amani ili kuimarisha maadili ya amani na usalama miongoni mwa mataifa mbali mbali. Kwa kweli siku hiyo imekuja mwaka huu ilhali mataifa kadhaa wamekosa...
Thursday, 22 September, 2016
Al-Azhar yalaani shambulizi la kigaidi lililolengea msikiti mmoja nchini Pakistan
Al-Azhar Al-Sharif imelaani kikali lile shambulizi la kigaidi lililotekelezwa na mgaidi wa kujitoa mhanga kwenye msikiti mmoja katika eneo la kikabila nchini Pakistan karibu na mipaka na Afghanistan kipindi cha Swala ya Ijumaa jambo lililopelekea...
Sunday, 18 September, 2016
Al-Azhar yalaani mashambulizi mawili ya kigaidi mjini Kabul
Al-Azhar Al-Sharif yalaani mashambulizi mawili ya kigaidi, ambayo yalitokea karibu na Wizara ya Ulinzi katika mji mkuu wa Afghanistan Kabul, leo Jumatatu, yaliyosababisha kuwaua 24 na kujeruhi zaidi ya 90 wengineo Al-Azhar Al-Sharif yasisitiza...
Tuesday, 6 September, 2016
Hotuba ya Imamu Mkuu kwenye Mkutano wa "Ahlu-Sunnah na Al-Jamaa Ni nani ", Grozny, Chechan
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu Shukrani zote ndizo za Mwenyezi Mungu, Mola wa Malimwengu kote, Swala, Salamu na Baraka zote zimfikie Bwana wetu Mtume Mohammad (S.A.W.) pamoja na jamaa na maswahaba wake wote...
Sunday, 28 August, 2016
First9101112131415161718Last