Hotuba ya kidini (2)

  • | Wednesday, 8 November, 2017

1- Hakika hotuba sahihi ya kidini husaidia kueneza amani ya pamoja kwa wanadamu wote, na uadilifu na usawa itapatikana katika jamii zote.
2- Hotuba sahihi ya kidini husaidia kupatikana amani ya kinafsi na kuimarisha maadili ya kibinadamu kama vile huruma, usamehevu na kadhalika.
3- Hotuba sahihi ya kidini huhifadhi damu za watu, heshima yao, mali zao na utukufu wao. Na kupitia hotuba hiyo, uzuri, usafi, ustaarabu pamoja na maendeleo hupatikana.

 

Kituo cha Al-Azhar cha Kupambana na Mawazo Makali
Kitengo cha Lugha za Kiafrika

 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.