Imamu Mkuu wa Al_Azhar akibainisha maoni yake juu ya matokeo ya Sri_lanka ya kigaidi: sifikiri kwamba mwanadamu fulani anawashambulia watu wenye usalama katika siku ya idi yao. Hakika, maumbile ya magaidi hawa yanakwenda kinyume na mafundisho ya dini zote, mimi ninamwomba Mwenyezi Mungu Awape watu wa wahanga subira na Awapone wajeruhiwa.