Kujitahidi katika Uislamu
1- Kwa hakika Mwenyezi Mungu hakutunukia elimu na fiqhi watu fulani na kuwaacha wengine, au kwa muda fulani hasa. Na kwamba heri na baraka ziko katika umma wa Mtume Muhammad (S.A.W.) hadi siku ya kiyama. 2- Bila shaka utengenezaji upya katika...
Thursday, 16 November, 2017
Daesh: linadai kwamba kujiunga na kundi lao kunamrahisishia mwislamu kutekeleza ibada za Uislamu kwa uhuru !
      Hakika Uislamu unajumuisha mawazo yote ya kibinadamu ambayo hayapingani na dini hii tukufu, na Uislamu wenye wanamgambo hauhitaji vurugu na ukatili wa makundi yenu, bali unahitaji mwendo wastani wa Mtume (S.A.W)...
Thursday, 16 November, 2017
Khiyana na kuvunja ahadi katika Uislamu
1- Mwenyezi Mungu Mtukufu Amewaamrisha waja wake waumini watekeleze ahadi zote na kulazimika kwa majukumu yao yote, zikiwa ahadi hizo na Mwenyezi Mungu au na watu, Mwenyezi Mungu Amesema: "Enyi mlio amini! Timizeni ahadi". 2- Hakika...
Wednesday, 8 November, 2017
Hotuba ya kidini (2)
1- Hakika hotuba sahihi ya kidini husaidia kueneza amani ya pamoja kwa wanadamu wote, na uadilifu na usawa itapatikana katika jamii zote. 2- Hotuba sahihi ya kidini husaidia kupatikana amani ya kinafsi na kuimarisha maadili ya kibinadamu kama...
Wednesday, 8 November, 2017
Hotuba ya kidini
1- Hotuba sahihi ya kidini ni sababu mojawapo sababu muhimu za kuleta utulivu wa jamii, ambapo inachangia sana katika kuleta usalama na amani. 2- Utengenezaji upya wa hotuba ya kidini unapaswa usivuke misingi ya dini na lazima uende sambamba na...
Wednesday, 8 November, 2017
First45678910111213Last