العربية
English
Français
Deutsch
Español
اردو
Swahili
فارسی
中文
Türkçe
Italiano
עברית
Ελληνικά
Al Azhar Observatory
Jumbe za kufahamisha
Ichunguzeni
Kwa vijana wa Ummah
Maadili ya Kibinadamu
Wanadai..Tunasahihisha
Dhana ya Jihad
sikio lisikialo
Jua kituo cha Uangalizi cha Al-Azhar
msiwalaani maswahaba wangu
Mtume wa ubinadamu
Waokoe
Majibu ya Mawazo Makali
Kumkafirisha Mwingine
1
2 Jan 2017
Sheria ya kiislamu inataka kuwakomboa watu kutoka aina yoyote miongoni mwa sura za utumwa, isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu (S.W.) Ambaye Amelifanya suala la imani na ukafiri ndilo siri baina ya mja na Mola wake tu….kwa hakika Mtume (S.A.W.)...
Kuuwa kwa sababu ya Madhehebu
2
11 Jan 2017
Wamesema kuwa uhai katika njia ya Mwenyezi Mungu Ni nzuri zaidi kuliko kufa katika njia yake, Na kwamba uhai katika Uislamu una cheo cha juu, kwani Uislamu umekuja ili kusisitiza kustawisha ardhi, ukazingatia kushambulia mwili wa binadamu pasipo...
Mifano ya kuishiana baina ya Uislamu na dini zingine
3
15 Jan 2017
Kuishiana baina ya dini tofauti ndio kuishiana baina ya tamaduni na staarabu mbali mbali unaolengea kuyahudumia malengo ya juu ambayo mwanadamu daima hujitahidi kuyahakikisha. Tunaona kwamba msimamo wa Uislamu kuhusu kuishiana baina ya dini...
Kufuata dini ama Kuwa na mawazo makali?!
4
27 Jan 2017
Miongoni mwa namna za kisasa za kufuata mawazo makali ni kufuata mawazo ya kundi au chama fulani, ambapo tunakuta kwamba anayejiunga kwa lo lote kati ya makundi hayo hutangaza utiifu wake kwa watu wa kundi hilo au chama hicho tu, bila ya kujali...
Kuuza silaha katika zama ya Fitina ni Haramu
5
2 Feb 2017
Kwa kweli maelekezo ya kimungu na mafundisho ya kitume hutubainishia njia ya maisha yetu kwa ajili ya kuhifadhi usalama wa jamii zetu, na kuzuia kuenea fitina na ufisadi katika ardhi. Kutokana na hali hiyo, dini yetu tukufu imetukataza kuuza...
Adhabu za kisheria katika Uislamu
6
15 Feb 2017
Kwa kweli adhabu za kisheria zimewekwa katika Uislamu kwa ajili ya kupatiliza (kutotenda makosa) na kuilinda jamii, sio kwa ajili ya kulipiza au kuadhibuu, Je! Kuna nchi yo yote katika wakati uliopita au wa kisasa haitungi sheria na kupitisha...
Maoni ya Kituo cha Al-Azhar cha kupambana na mawazo makali kuhusu toleo la Al-Shabab "Je Umeridhia"
8 Aug 2017
Kituo cha Al-Azhar cha kupambana na mawazo makali kinaona kwamba toleo la Kundi la Al-Shabab ni hatari sana kwa sababu linaweza kuwaathiri baadhi ya vijana wenye upendeleo wa kidini, jambo ambalo kundi la Al-Shabab linalitumia katika hotuba yake...
Tuhuma ya kutoka mwanamke nje ya nyumba yake kwa ajili ya kufanya kazi
4 Sep 2018
Kundi la Daesh linatoa Fatwa kwa kutojuzu kwa mwanamke kutoka nje ya nyumba yake kwa ajili ya kufanya kazi, likitegemea dalili zifuatazo: Kauli ya Mwenyezi Mungu: {Na kaeni majumbani kwenu}, [Al-Ahzab:...