Dhana ya Uraia kati ya mtazamo wa sheria ya kiislamu na uelewa wa makundi ya kigaidi
       Miongoni mwa sifa za kimaumbile na hisia za kibinadamu ambazo wanadamu wameumbwa nazo, hisia ya kuipenda nchi na kusikia fahari kwa kujiunga nayo, ambapo yeyote mwenye akili timamu huwa na hamu ya kuitetea nchi yake...
Tuesday, 4 January, 2022
Al-Azhar ni Kibla cha kisayansi na marejeo ya kidini kwa Waafrika
     Bila shaka, jukumu la kimsingi liliyofanywa na Al-Azhar barani Afrika katika masuala ya misaada na katika nyanja za elimu na afya na kutuma misafara ya kisayansi, ulinganiaji na matibabu halifichwi na mtu yeyote, hadi kwamba...
Tuesday, 23 November, 2021
Daraja ya Tasawwuf katika Uislamu
     Inapotaja Tasawwuf ilizuka machoni sura iliyobabiwa kwa wafuasi wa twariqa mbalimbali, wanapanguliwa wakati wa mahafala  ya kidini katika  zafa zilizoona sauti ya kivumi (ya juu sana sauti ya kilele) ,wanahudumu...
Tuesday, 21 September, 2021
Kituo cha uangalizi cha Al_Azhar chapokea ujumbe kutoka taasisi ya Shabab Al-Mutawaset kuzitambua juhudi za kupambana na fikra kali na ugaidi
     Kituo cha uangalizi cha Al_Azhar cha Kupambana na fikra kali kilipokea ujumbe kutoka taasisi ya Shabab Al-Mutawaset, leo, Jumapili, katika uwanja wa mradi unaosimamiwa na Wizara ya Vijana na Michezo; Kwa lengo la kutambua...
Monday, 30 August, 2021
Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar chapokea Waziri wa Mambo ya nje wa Serbia na ujumbe ulioandamana naye ili kutambua juhudi zake katika kupambana na fikra kali
     Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar cha kupambana na fikra kali kilipokea, leo, Jumatatu, Agosti 23, Waziri wa Mambo ya nje wa Serbia Nikola Silakovic, na ujumbe ulioandamana naye; Ili kutambua juhudi za kituo katika uwanja wa...
Monday, 23 August, 2021
1345678910Last