Al-Azhar na Al-Quds (Jerusalem) .. Misimamo kupitia Historia
      Kwa hakika suala la Kipalestina lilikuwa na linaendelea hadi hivi sasa kupata shime kubwa kwa upande wa Al- Azhar Al-Shareif ambayo inashikilia kuunga mkono kwa Al-Quds na Al-Aqsa katika wakati wote, Al-Azhar daima...
Wednesday, 17 January, 2018
Taarifa ya Al-Azhar kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Kunusuru Suala la Al-Quds
Ukiwa na shime kubwa ya kiarabu nay a kimataifa … Mkutano wa Kimataifa wa Al-Azhar wa kunusuru Al-Quds waanza kwa kutilia mkazo maudhui tatu kuu: Uelewa kwa Suala la Al-Quds Kisisitiza Utambulisho wa Mji Mtakatifu wa Al-Quds ...
Tuesday, 16 January, 2018
Uislamu na Suala la Kutendeana na Wasio Waislamu
     Mwenyezi Mungu Amemtukuza mwanadamu bila ya kujali asili, dini na itikadi yake, Mwenyezi Mungu Amesema {Na hakika tumewatukuza wanadamu} (Al-Israa, 70). Na mafundisho ya Uislamu yamewahimiza waislamu waheshimu utukufu wa...
Tuesday, 16 January, 2018
Taarifa ya Imamu Mkuu kuhusu kuupokea Mwaka Mpya wa 2018
     Akielezea Matamanio yake kwa Mwaka Mpya uwe na Kheri na Amani, Imamu mkuu: mwaka wa 2018 uwe mwenye uadilifu na usamehevu.. Kujibu Mahitaji ya wanaonyimwa na dhalili. Mheshimiwa Imamu mkuu sheikh wa Al-Azhar profesa...
Tuesday, 9 January, 2018
Uharamu wa kushambulia nyumba za ibada na wale walio ndani yake
     Kwa jina la Mwenyezi Mungu, na Swala na amani ziwe juu ya bwana wetu Mtume Muhammad (S.A.W) - na baadaye: Hakika kushambulia nyumba za ibada na kuwaua wale walio ndani yake ni ufisadi katika ardhi na inaenda kinyume na...
Thursday, 28 December, 2017
First567810121314Last