kituo_cha_uangalizi_cha_Al_Azhar katika siku_ya_kimataifa_ya_amani: amani ni asili katika kuamiliana na mwavuli kwa watu wote
    Kila mwaka mnamo tarehe 21 mwezi wa Septemba, ulimwengu unaadhimisha "siku ya kimataifa ya amani," iliyopitishwa na jumuiya kuu ya umoja wa mataifa mnamo 1981; ili kusherehekea na kuimarisha maadili ya amani kati ya...
Monday, 21 September, 2020
Imam Mkuu akutana na timu «Enactus Al-Azhar» akisifu uwakilishi wao wa heshima kwa Misri
     Imam Mkuu amesema kwamba "Enactus wa Al-Azhar": ni mfano wa heshima kwa mwanafunzi wa Al-Azhar, ambaye ana faida kwa nchi na ubinadamu wake ---------- Imam Mkuu, Profesa Ahmed Al-Tayeb, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif,...
Wednesday, 16 September, 2020
"Waislamu wa Rohingya.. ni suala la kibinadamu ambalo bado linatafuta suluhisho".. Video mpya kwa kituo cha uangalizi cha Al-Azhar kwa lugha 12
     Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar cha kupambana na fikra kali kilitoa leo asubuhi ripoti ya video kwa lugha kumi na mbili chini ya anuani "Waislamu wa Rohingya.. suala la kibinadamu ambalo bado linatafuta suluhisho."...
Tuesday, 8 September, 2020
Imamu Mkuu: Kuchoma Msahafu kunachochea hisia za chuki na kunadhoofisha matokeo ya mazungumzo ya kidini
     Watu waliofanya uhalifu wa kuchoma msahafu mtukufu wanapaswa kujua kwamba halifu hizo ni ugaidi mkali kwa kiasi chote, ni ubaguzi mbaya ulikataliwa na staarabu zote za kibinadamu, bali ni kuni ya mioto ya ugaidi ambayo...
Thursday, 3 September, 2020
Hija ni wito wa Kuimarisha Mshikamano na Umoja wa Waislamu
     Hapana shaka kwamba lengo la kwanza la Hija ni kuzidisha kumuelekeza mja kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, na kumfanya kuwa mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, na kuimarisha uhusiano kwake na kuiingiza kwa ndani zaidi imani katika moyo...
Thursday, 30 July, 2020
First567810121314Last