Imamu mkuu apongeza Papa Tawadros na Wakristo kwa pasaka ya kikristo
     Mheshimiwa Imamu mkuu, Prof. Ahmad El-Tayyib, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif, amepiga simu na utakatifu wa Papa Tawadros II, papa ya Alexandria na Patriarki wa kanisa kuu, Kumpongeza kwa Pasaka ya Kikristo. Wakati wa mazungumzo...
Thursday, 16 April, 2020
Matukio ya mashambulizi ya "Kundi la Al Shabab la Kisomalia" hivi karibuni
    Jina la "Kundi la Al Shabab la Kisomalia" limehusishwa na kuenea kwa uharibifu na umwagaji wa damu katika maeneo ya Afrika ya Mashariki, hasa katika nchi ya "Somalia" na "Kenya". Katika...
Thursday, 2 April, 2020
Swala za Jeneza zinasimamiwa wapi wakati huu wa kufunga misikiti?
     Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, na Swala na Salamu zimefikia mtume wake (S.A.W.), Familia, Maswahaba, na Wafuasi wake. Ama baadaye.. Si sharti kusimamisha swala ya jeneza misikitini, bali inajuzu kusaliwa mahala...
Thursday, 26 March, 2020
Qur’ani Tukufu na roli yake katika kupanga mahusiano ya kibinadamu baina ya watu
     Hakika Qur’ani Tukufu ndiyo msingi wa suala lolote linalofungamana na Dini ya Kiislamu, nayo ni mfumo ‎unaofaa kila wakati na mahali, na bila shaka kuwa Qur’ani kupitia dhana hiyo ‎thabiti inajumuisha kila...
Sunday, 16 February, 2020
Uislamu ndio ni dini ya amani na usalama
       Hakika dini ya Uislamu ni dini ambayo inahimiza watu wote wa waislamu  juu ya amani pamoja na wengine, kwani neno la Uislamu linamaanisha kwa kiarabu amani, basi usalama na Uislamu ni maneno mawili...
Thursday, 13 February, 2020
First7891012141516Last