Kituo cha Al-Azhar chatoa kampeni "Michezo ni kujuana na kupendana" katika wakati huo huo wa Michuano ya kombe la mataifa ya afrika
     Kituo cha uangalizi cha Al_Azhar kinatoa leo asubuhi kampeni chini anuani " Michezo ni kujuana na kupendana" katika wakati huo huo wa Michuano ya kombe la mataifa ya afrika, nchini Misri. Jumbe za kampeni...
Saturday, 6 July, 2019
Al-Azhar Na Kupambana Na Mawazo Makali Afrika
     Katika wakati ambapo nchi kubwa na mashirika ya kimataifa hazikuwepo na mgogoro wa Afrika, na matukio ya vurugu yaliyongozeka hayakuathirika nao, Al-Azhar Al-Sharief haikusimama bila ya kufanya kitu chochote mbele ya hali...
Wednesday, 3 July, 2019
Uislamu ni dini ya Amani na Usalama
     Uislamu – kimsingi - ni dini ya amani. Jina lake linatokana na neno la kiarabu “Silm” ambalo lina maana mbili: Ya kwanza ni “kujisalimisha kwa Allah”. ya pili ni...
Sunday, 30 June, 2019
Imamu Mkuu wa Al_Azhar akibainisha maoni yake juu ya matokeo ya Sri_lanka ya kigaidi...
Imamu Mkuu wa Al_Azhar akibainisha maoni yake juu ya matokeo ya Sri_lanka ya kigaidi: sifikiri kwamba mwanadamu fulani anawashambulia watu wenye usalama katika siku ya idi ‎yao. Hakika, maumbile ya magaidi hawa yanakwenda kinyume na...
Sunday, 21 April, 2019
Al-Azhar Al-Sharif: Golan ni eneo la Syria la kukaliwa hakuna uhalali wa mamlaka ya ukoloni
     Al-Azhar Al-Sharif‎ inalaani taarifa ya utawala wa Marekani siku ya Alhamisi jioni kuhusu kuusaidia utawala‎ wa kiyahudi unaodaiwa dhidi ya eneo la Golan la Syria linalokaliwa. Al-Azhar Al-Sharif inasisitiza...
Tuesday, 26 March, 2019
First910111214161718Last