Dhana ya Hijra kati ya mtazamo wa sheria ya kiislamu na uelewa wa makundi ya kigaidi
    Miongoni mwa dhana zinazotumika kinyume na ukweli wake na kuchafuliwa na makundi ya kigaidi dhana ya "Hijra" ambayo ina nafasi kubwa katika Uislamu, ambapo inaashiria tukio la kihistoria la kutangaza mageuzi makubwa...
Sunday, 15 August, 2021
Sheikhi wa Al Azhar ampongeza Rais Al Sisi na umma wa kiislamu kwa mnasaba wa mwaka mpya wa Hijra
     Mheshimiwa Imam Mkuu Profesa/ Ahmed Al-Tayyib, Sheikh wa Al_Azhar Al-Sharif, anatoa pongezi kwa Raisi wa Misri Abdel Fattah Al-Sisi, na waislamu wote ulimwenguni kwa mnasaba wa mwaka mpya wa Hijra, akimwomba Mwenyezi Mungu...
Saturday, 7 August, 2021
Mchango wa Malezi Bora katika Kupambana na Fikra Kali
    Bkila shaka jamii yoyote inahitaji kuwa na misingi ya kuijenga na kuipa nguvu ya kuendelea duniani na kupambana na majanga na matatizo yanayoikumba. Misingi hiyo ni kama vile; malezi, mshikamano, umoja, uadilifu n.k., ingawa...
Sunday, 18 July, 2021
kimetangulizwa na Mheshimiwa Imamu Al Tayyib na Baba Mtakatifu Francis...
     kimetangulizwa na Mheshimiwa Imamu Al Tayyib na Baba Mtakatifu Francis, na viongozi kadhaa na wahusika wakuu wa kimataifa wa kisiasa na kitamaduni walitoa maoni yao. kimetangulizwa na Mheshimiwa #Imamu_Al_Tayyib na Baba...
Sunday, 4 July, 2021
AL-AZHAR: Wakimbizi waishi katika shida nyingi, na jamii ya kimataifa lazima iwaunge mkono na kuwalinda
Al-Azhar inaukumbusha ulimwengu suala kongwe zaidi la wakimbizi  katika zama za kisasa.... " wakimbizi wapalestina" leo 20 Juni  inaafikiana na siku ya kiulimwengu kwa wakimbizi. katika mnasaba huo Al-Azhar Al-Sharif...
Monday, 21 June, 2021
245678910Last