Dhana ya Jihad 9
Kwa kweli aya za mwanzo kabisa kuteremshwa kuhusu uagizo kwa kupigania vita ndiyo kauli ya Mwenyezi Mungu (S.W.): "[Wameruhusiwa kupigana wale wanaopigwa vita kwa sababu wamedhulumiwa - na kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Muweza wa kuwasaidia]...
Sunday, 31 July, 2016
Dhana ya Jihad 7
Jihad ya binafsi - mapigano - ni faradhi isiyopitishwa juu ya kila mwislamu kwani majeshi ya nchi yanawawakilisha waislamu kutekeleza faradhi hiyo ambapo waliobaki hawalazimishwi kwa faradhi hiyo wala hawatalaumiwa kwa sababu ya kutoifanya mbele...
Wednesday, 27 July, 2016
Dhana ya Jihad 6

Haikubaliki kusema kwamba madamu Jihad ni faradhi katika Uislamu, basi kila mwislamu huwa na haki ya kujihami kwa upanga au silaha na kuwapigania vita wengineo, kwa hakika kufanya hivyo uhalifu na kosa kubwa.

Wednesday, 27 July, 2016
Dhana ya Jihad 5

Kama Jihad katika Uislamu ina maana ya kupigania vita vya kujilinda kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, basi itakuwa la kubalika kuwa utetezi huo ni lazima hasa ikiwa hali ya mambo inawajibisha kufanya hivyo.

Wednesday, 27 July, 2016
Dhana ya Jihad 4

Faradhi ya Jihad  - ambayo baadhi ya watu hujaribu kuichafusha -  haikupitishwa ila kwa lengo la kutetea nafsi, imani na nchi.

Monday, 25 July, 2016
First3334353638404142Last