Ugaidi wa kielektroniki (ugaidi wa cyber) na ulazima wa kusisitiza usalama wake
     Hatari ya kutumia vyombo vya habari vya kielektroniki kama ni zana ya kueneza fikra kali iko katika kutegemea vyanzo vya habari na njia za kielektroniki katika wakati huo huo kw ajili ya kushawishi akili za wanaopokea, kwani...
Sunday, 12 January, 2020
Uislamu huheshimu haki za wasio waislamu wanaoishi chini ya utawala wa waislamu
     Mwenyezi Mungu (S.W.) amemwumba mwanadamu akampa maumbile yaliyo mazuri zaidi na akamtukuza akampa neema zilizo dhahiri na zilizofichika, akaufanya ulimwengu kwa viumbe vyote vilivyomo ndani yake kati ya neema za mbinguni na...
Thursday, 19 December, 2019
Bunge la kimataifa lasifu juhudi za Al-Azhar katika kusaidia kupatikana amani ulimwenguni
      Mheshimiwa Imamu mkuu, Prof/ Ahmad El-Tayyeb, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif, amempokea Balozi / Mukhtar Omar, Mshauri mkuu wa katibu mkuu wa umoja wa bunge la kimataifa. Mwanzoni mwa mkutano, Mheshimiwa Imamu mkuu...
Friday, 8 November, 2019
Jukumu la vijana katika mageuzi na marekebesho ya jamii
     Vijana ni msingi wa taifa, umuhimu wa vijana uko katika kuwa wanaume wa taifa na mzizi wake na siri ya kuwepo kwake, kwani wao ni watakaostahmili mzigo wa ujumbe, na kupitia kwao Uislamu umeimarika. vile vile umuhimu wa vijana...
Thursday, 5 September, 2019
Hija ni wito wa Kuimarisha Mshikamano na Umoja wa Waislamu
     Hapana shaka kwamba lengo la kwanza la Hija ni kuzidisha kumuelekeza mja kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, na kumfanya kuwa mnyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, na kuimarisha uhusiano kwake na kuiingiza kwa ndani zaidi imani katika moyo...
Tuesday, 20 August, 2019
First3435363739414243Last