Uislmu ni dini ya Rehema
     1.    Kwa kweli huruma ya Uislamu imewazingatia wagonjwa na wajeruhiwa; ambapo Uislamu umewahimiza wafuasi wake watembelee wagonjwa, na ukawafanyia malaika waombe maghfira kwa anayemtembelea mgonjwa, pia...
Tuesday, 12 December, 2017
Uislamu na Vijana
     •    Uislamu umeshughulukia kabisa mbeya ya ujana; ukaielekezea kujenga na heri, na ukaiepushia kuporomoka na ovyo. Basi lengo la uislamu ni kuifanya mbeya hiyo iwe ya heri kwa upande wa mtu mmoja na...
Sunday, 10 December, 2017
Aibu za Kuvunja mipaka na Kufuata misimamo mikali
     Kwanza: kuvuka mipaka na kufuata misimamo mikali kunapingana na misingi ya usamehevu na wepesi ambazo sheria ya kiislamu ilijengwa juu yake. Mtume (S.A.W) Alisema: "rahisishieni wala msifanye ugumu". Pili:...
Saturday, 9 December, 2017
Imamu Mkuu akataa kumpokea makamu wa Trump akisisitiza: inapaswa kufuta aumuzi huo usio wa kisheria na unaolengea kupoteza haki za wapalestina kuhusu mji mkuu wa nchi yao "Al-Quds"
    Katika taharuki ya kihistoria Mheshimiwa Imamu Mkuu wa Al-Azhar Profesa Ahmed Al-Tayyib amekataa ombi la makamu wa rais wa Marekani Donald Trump kukutana naye mwishoni mwa mwezi huu, akabainisha ghadhabu na kukataa kwake kwa...
Saturday, 9 December, 2017
Katika taarifa ya haraka baada ya Swala ya Ijumaa Imamu Mkuu kwa wenyeji wa Al-Quds: Mapinduzi yenu yawe kwa kiwango cha imani yenu kwa suala lenu...
Katika taarifa ya haraka baada ya Swala ya Ijumaa Imamu Mkuu kwa wenyeji wa Al-Quds: Mapinduzi yenu yawe kwa kiwango cha imani yenu kwa suala lenu, upendo wenu kwa nchi, na sisi tuko pamoja nanyi wala hatutawapuuzeni     Kwa jina...
Friday, 8 December, 2017
First3839404143454647Last