Uislamu na Mwingine
     1-    Utukufu wa Uislamu unadhihirika wazi kwa kumtendea haki ‎asiyekuwa mwislamu, na kwamba jirani yako ni kama ‎nafsi yako haijuzu kumdhuru wala kumfanyia maovu. 2-    Uislamu...
Monday, 4 December, 2017
Daesh: Jihad ni faradhi inayopaswa kupitishwa juu ya waislamu wote....
Daesh: Jihad ni faradhi inayopaswa kupitishwa juu ya waislamu wote, nayo inawajibika kuwaua wasio waislamu wote wakitoa dalili kwa kauli ya Mwenyezi Mungu (S.W): "Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini iwe ya Mwenyezi Mungu...
Saturday, 2 December, 2017
Uislamu huharamisha kushambulia Nyumba za Ibada
     1.    Uislamu umeita kuhifadhi nyumba za ibada na umezipa utakatifu wa hali ya juu, kwani hizo ndizo Nyumba za Mwenyezi Mungu ardhini, na kuzishambulia ni kitendo kibaya kinachokataliwa katika Uislamu hata...
Friday, 1 December, 2017
Daesh: Kuufanya urafiki na wasio waislamu ni kufuru
     Kufanya urafiki na wasio waislamu hata wakiwa maadui haizingatiwi kuwa ukafiri bali ni uhalifu mkubwa ambao mtawala anaupitishia adhabu kwa ilivyomzuia haini asikhini tena, lakini haini huyo hubaki mwislamu na haijuzu...
Thursday, 30 November, 2017
Maadili yapinga Vurugu
     1- Hakika sehemu kubwa ya vurugu tunazoziona katika sehemu kadhaa ulimwenguni zinasababishwa na ukosefu au udhaifu wa hisia za kibinadamu na kuvurugika kwa mpangilio wa maadili ya kibinadamu. 2- Bila shaka, jmaii ya leo...
Wednesday, 29 November, 2017
First3940414244464748Last