Hotuba ya kidini (2)
1- Hakika hotuba sahihi ya kidini husaidia kueneza amani ya pamoja kwa wanadamu wote, na uadilifu na usawa itapatikana katika jamii zote. 2- Hotuba sahihi ya kidini husaidia kupatikana amani ya kinafsi na kuimarisha maadili ya kibinadamu kama...
Wednesday, 8 November, 2017
Hotuba ya kidini
1- Hotuba sahihi ya kidini ni sababu mojawapo sababu muhimu za kuleta utulivu wa jamii, ambapo inachangia sana katika kuleta usalama na amani. 2- Utengenezaji upya wa hotuba ya kidini unapaswa usivuke misingi ya dini na lazima uende sambamba na...
Wednesday, 8 November, 2017
Kuhusu istilahi ya "Waliopotea"
     Kuhusu istilahi ya "Waliopotea" katika kauli yake Mwenyezi Mungu Mtukufu: {Siyo ya waliokasirikiwa, wala waliopotea}, [Al-Fatihah:7]. Ilhali istilahi ya "waliopotea" iliyotajwa katika sura ya...
Saturday, 4 November, 2017
Dalili na hoja zinazozuia kumkafirisha mwislamu (3)
     Wanachuoni wengi wamelizungumzia suala la kumkufurisha mwislamu, kutokana na umuhimu na cheo hatari katika historia na mawazo ya kiislamu kupitia historia ya kiislamu, na mifano ya wanachuoni hao ni yafuatayo: Kwanza:...
Wednesday, 1 November, 2017
Dalili na hoja zinazozuia kumkufurisha mwislamu (2)
     Hakika dalili na hoja zinazozuia kumkufurisha mwislamu ni wazi sana na zinachukuliwa kutoka Qurani na Sunnah ya Mtume (S.A.W) na kutoka urithi wa kale wa Uislamu ulio safi sana, na kufuatia yaliyotangulia kutajwa kutoka...
Monday, 30 October, 2017
First4142434446484950Last