Balozi wa Tanzania nchini Misri amaliza kipindi cha kazi yake kwa kukutana na Imamu Mkuu
     Mheshimiwa Imamu Mkuu Profesa, Ahmad Al-Tayyib Sheikhi Mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif alimpokea leo Bwana, Muhammed Al-Haj Hamza Balozi wa Tanzania mjini Kairo kwa mnasaba wa kumalizika kwa muda wake wa kidplomasia hapa...
Monday, 23 October, 2017
Mke wa Rais wa Chad: Al-Azhar ina cheo cha juu sana nyoyoni mwa wananchi wa Chad na Waafrika wote
     Mhwshimiwa Imamu Mkuu wa Al-Azhar Al-Shaerif Profesa/ Ahmad Al-Tayyib amempokea leo Bibi/ Henda Diby Etno mke wa Rais wa Chad aliyeanza ziara nchini Misri. Katika mkutano huo Imamu Mkuu alimkaribisha Bi.; Etno kwenye...
Monday, 23 October, 2017
Taarifa ya Al-Azhar kuhusu madai ya kuwaua wanajeshi na polisi
Kudai kwamba: kuwauwa wanajeshi na Polisi ni Jihadi Jibu: Jihadi iko mbali -sana- na wanayoyadai wahalifu na waharibifu hao, basi Jihadi ina maana nzuri sana, lakini wafisadi hao hawaijua maana yake, kwani maana yake ni kutoa juhudi kupambana...
Monday, 23 October, 2017
Mahitaji ya udugu kati ya Manabii
     Kwa kuwa uhusiano wa udugu ni nguvu zaidi katika husiano za kibinadamu baina ya watu, basi Mtume (SAW) amesifu uhusiano wa mapenzi, upendo, heshima baina ya Manabii wote kwa "udugu", imesimuliwa Kutoka kwa Abu...
Sunday, 22 October, 2017
Udugu wa Manabii na Uislamu wa kimataifa (1)
Umuhimu wa kuwaamini Mitume wote
Wednesday, 18 October, 2017
First4243444547495051Last