Hotuba ya Imamu mkuu Profesa; Ahmad Al-Tayib Sheikhi mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif nchini Indonisia
kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema Mwenye kurehemu Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, swala na salamu zimfikie Mtume wetu Mohammad (S.A.W.) pamoja na jamaa zake na maswahab wake wote…. Enyi hadhira...
Wednesday, 24 February, 2016
Dondoo za hotuba ya Imamu mkuu ya kihistoria kwa Ummah mjini Jakarta
Imamu mkuu achunguza madai ya ubaguzi dhidi ya wakristo wa mashariki…akisisitiza kwamba: Raia wa Indonisia wana roli muhimu sana katika Ummah wa kiislamu na wana athari dhahiri katika historia ya Uislamu na waislamu. Majaribio ya...
Tuesday, 23 February, 2016
Imamu Mkuu ashiriki katika jeneza ya kijeshi ya Dkt; Botrous Ghali
Mheshimiwa Imamu Mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif profesa; Ahmad Al-Tayib atashiriki katika jeneza ya kijeshi ya dkt; Botrous Ghali katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa mataifa aliyefariki Jumanne iliyopita. Al-Azhar Al-Shareif ilikuwa imemwombeleza...
Friday, 19 February, 2016
Mkakati wa Kuihujumia Al-Azhar
Na; Abdul-Nasser Salama
Saturday, 9 January, 2016
Ttarifa ya Al-Azhar El-Sharief kuhusu kuzitukuza huru za kibinadamu
Al-Azhar El-Sharief inayasisitiza yale yaliyotajwa katika maandishi yake kuhusu huru na umuhimu wa kuzitukuza, na miongoni mwake uhuru wa itikadi kwa mujibu wa kauli ya Mwenyezi Mungu (Hapana kulazimisha katika Dini) na kauli yake (Nyinyi mna...
Tuesday, 29 December, 2015
First4344454648505152Last