Mwanzoni mwa ziara yake nchini Ujerumani … Imamu mkuu akutana na viongozi wa makanisa ya kikristo
Mwanzoni mwa ziara yake nchini Ujerumani … Imamu mkuu akutana na viongozi wa makanisa ya kikristo..akisisitiza kwamba: •    Jukumu langu lililo muhimu zaidi ni kueneza usalama ulimwenguni kote na nitamzuru Pope wa...
Tuesday, 15 March, 2016
Dondoo za hotuba ya Imamu Mkuu kwenye Chuo kikuu cha kiislamu cha kiserikali cha Maulana Malik Ibrahim nchini Indonisia
  Dondoo za hotuba ya Imamu Mkuu kwenye Chuo kikuu cha kiislamu cha kiserikali cha Maulana Malik Ibrahim nchini Indonisia Katika sherehe kubwa ya kirasmi na ya kitaifa Indonisia imtunza Mheshimiwa Imamu Mkuu shahada ya...
Thursday, 25 February, 2016
Katika hotuba msikitini mwa Al-Azhar huko Jakarta .. Imamu Mkuu ailinda itikadi ya watu wa Sunna huko Asia ya kusini kwa kuanzisha kumbi za kufundisha sheria
Mheshimiwa Imamu Mkuu profesa; Ahmad Al-Taiyb, Sheikhi Mkuu wa Al-Azhar Al-Sharief, Mkuu wa Baraza la Wakuu wa Waislamu, ametoa hotuba katika msikiti wa Al-Azhar Al-Sharief katika mji mkuu wa Indonisia Jakarta akiwatoa shauri wanafunzi kwa...
Thursday, 25 February, 2016
Hotuba ya Imamu mkuu Profesa; Ahmad Al-Tayib Sheikhi mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif nchini Indonisia
kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema Mwenye kurehemu Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu, swala na salamu zimfikie Mtume wetu Mohammad (S.A.W.) pamoja na jamaa zake na maswahab wake wote…. Enyi hadhira...
Wednesday, 24 February, 2016
Dondoo za hotuba ya Imamu mkuu ya kihistoria kwa Ummah mjini Jakarta
Imamu mkuu achunguza madai ya ubaguzi dhidi ya wakristo wa mashariki…akisisitiza kwamba: Raia wa Indonisia wana roli muhimu sana katika Ummah wa kiislamu na wana athari dhahiri katika historia ya Uislamu na waislamu. Majaribio ya...
Tuesday, 23 February, 2016
First4445464749515253Last