Imamu Mkuu ashiriki katika jeneza ya kijeshi ya Dkt; Botrous Ghali
Mheshimiwa Imamu Mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif profesa; Ahmad Al-Tayib atashiriki katika jeneza ya kijeshi ya dkt; Botrous Ghali katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa mataifa aliyefariki Jumanne iliyopita. Al-Azhar Al-Shareif ilikuwa imemwombeleza...
Friday, 19 February, 2016
Mkakati wa Kuihujumia Al-Azhar
Na; Abdul-Nasser Salama
Saturday, 9 January, 2016
Ttarifa ya Al-Azhar El-Sharief kuhusu kuzitukuza huru za kibinadamu
Al-Azhar El-Sharief inayasisitiza yale yaliyotajwa katika maandishi yake kuhusu huru na umuhimu wa kuzitukuza, na miongoni mwake uhuru wa itikadi kwa mujibu wa kauli ya Mwenyezi Mungu (Hapana kulazimisha katika Dini) na kauli yake (Nyinyi mna...
Tuesday, 29 December, 2015
Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwengi wa kurehemu mwingi wa rehema
Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwengi wa kurehemu mwingi wa rehema Shukrani zote kwa Mwenyezi Mungu, Swala na amani zimfikie nabii wa rehema na mtume wa amani Muhammed Bin Abdullah, jamaa zake na maswahaba wake… Enyi waheshimiwa watukufu...
Tuesday, 24 November, 2015
Al-Azhar Al-Shareif yalaani vitendo vya kiadui dhidi ya waislamu katika nchi za kimagharibi..
Al-Azhar Al-Shareif yalaani vitendo vya kiadui dhidi ya waislamu katika nchi za kimagharibi..ikisisitiza kuwa:     Serikali za nchi za kimagharibi lazima ziwalinde waislamu na misikiti na mali zao.     Uchochezi...
Wednesday, 18 November, 2015
First4546474850525354Last