Baada ya kupokea mwaliko rasmi: Mheshimiwa Imamu mkuu ajitayarisha kuizuru Italy ili akutane na raisi wa nchi hiyo na kutoa hotuba bungeni
Mheshimiwa imamu mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif profesa; Ahmad Al-Tayyib atasafiri katika siku chache zijazo kwenda mji mkuu wa Italy, Roma, katika ziara rasmi, ambapo atakutana na raisi wa kiitaly Bw; Serjo Matarilla ili kujadili masuala muhimu ya...
Friday, 16 October, 2015