Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwengi wa kurehemu mwingi wa rehema
Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwengi wa kurehemu mwingi wa rehema Shukrani zote kwa Mwenyezi Mungu, Swala na amani zimfikie nabii wa rehema na mtume wa amani Muhammed Bin Abdullah, jamaa zake na maswahaba wake… Enyi waheshimiwa watukufu...
Tuesday, 24 November, 2015
Al-Azhar Al-Shareif yalaani vitendo vya kiadui dhidi ya waislamu katika nchi za kimagharibi..
Al-Azhar Al-Shareif yalaani vitendo vya kiadui dhidi ya waislamu katika nchi za kimagharibi..ikisisitiza kuwa:     Serikali za nchi za kimagharibi lazima ziwalinde waislamu na misikiti na mali zao.     Uchochezi...
Wednesday, 18 November, 2015
Ujumbe wa Al-Azhar Mbinu ya Udanganyifu katika yaliyotangazwa na Daesh
Na profesa; Usama Nabil
Thursday, 22 October, 2015
Baada ya kupokea mwaliko rasmi: Mheshimiwa Imamu mkuu ajitayarisha kuizuru Italy ili akutane na raisi wa nchi hiyo na kutoa hotuba bungeni
Mheshimiwa imamu mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif profesa; Ahmad Al-Tayyib atasafiri katika siku chache zijazo kwenda mji mkuu wa Italy, Roma, katika ziara rasmi, ambapo atakutana na raisi wa kiitaly Bw; Serjo Matarilla ili kujadili masuala muhimu ya...
Friday, 16 October, 2015
First4748495052545556Last