Tuhuma ya kuwatendea wema wasio waislamu na kuwasiliana nao kwa zawadi na kuwapongeza katika Idi zao
Haijuzu kudhihirisha upendo kwa wasio waislamu madamu wao hawafuati Uislamu. Na kwamba ni lazima kufuata Nabii Ibrahim (A.S), kwa sababu yeye ni ruwaza njema, pale ambapo imekuja katika Sura ya Al-Mumtahanah kwamba Ibrahim amejitenga na watu wake...
Sunday, 30 July, 2017
Kudai kwamba anayefanya vitendo vya ukafiri basi ni mkafiri hata akisema mimi ni mwislamu
Kujibu: kuna tofauti kati ya tendo la ukafiri na ukafiri wenyewe, basi siyo kila anayefanya tendo la ukafiri ni mkafiri; labda anakuwa anafuata maana au amekosa au jahili kwa anayefanya au siyo baleghe au hana akili, kwa hivyo mambo hayo yote...
Thursday, 27 July, 2017
Tangazo la Al-Azhar la Uwananchi na Kuishi Pamoja
Kutokana na kuitikia mahitaji mapya ambayo jamii zetu za kiarabu zinataka kuyahakikisha, na kupambana na changamoto zinazokabili dini, jamii, nchi. Na kutokana na kutambua hatari kubwa zinazozuia jaribio la kukiri kuwepo dini mbalimbali katika...
Wednesday, 14 June, 2017
Taarifa ya Al-Azhar kuhusu wito za kundi la kigaidi la Daesh kwa vijana ili wajiunge nalo
Imamu Mkuu wa Al-Azhar amesisitiza kuwa wito linalozitoa kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) kwa lengo la kuwavutia vijana wajiunge na kundi hilo ni wito potovu, na zinakusudia kuathiria vibaya utulivu wa nchi za kiislamu na amani yake, pamoja na...
Monday, 10 April, 2017
Rais wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa azisifu juhudi za Al-Azhar kupambana na Ugaidi
Rais wa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa Peter Thompson amesifu juhudi za Imamu Mkuu wa Al-Azhar za kuimarisha amani na mazungumzo, sio baina ya Uislamu na Ukristo tu, bali baina ya dini zote na mojawapo taasisi ya kidini iliyo kubwa zaidi...
Tuesday, 4 April, 2017
First4950515254565758Last