Dhana ya Jihad 14
Sio sahihi kwamba Uislamu ni dini ya upanga, kama yanavyotajwa katika maandishi ya baadhi ya waliojishughulikia kuuchafusha Uislamu na ustaarabu wake, jambo linalohitaji kujadiliwa kirefu, lakini tutatosheleka kudokeza kuwa Qurani iliyopitisha...
Saturday, 6 August, 2016
Dhana ya Jihad 15

Neno la "Saif" - upanga - sio mojawapo matamshi ya Qurani wala halikutajwa kabisa katika aya yo yote katika Qurani, ingawa upanga wakati wa kuteremshwa kwa Qurani ulikuwa ishara ya ushujaa na ushindi.

Saturday, 6 August, 2016
Dhana ya Jihad 13
Kwa hakika Uislamu umeharamisha kuwaua watoto, wazee, padri, kipofu, mlemavu na mwajiriwa waliomo kampeni mwa maadui, kwani watu hawa hawatazamiwi kupigana wala kufanya uadui, kwa hiyo imeharamishwa kuwaua ingawa wao ni makafiri, kama ikiwa...
Saturday, 6 August, 2016
Kituo cha Uangalizi cha Al-Azhar chasifu maelezo mazuri ya Pop Francis kuhusu kutofungamanisha Uislamu na vurugu
Kituo cha Uangalizi cha Al-Azhar kwa lugha za kigeni kimeyasifu maelezo ya Pop Francis, Baba wa Vatican, aliyoyatoa kwa waandishi wa habari kuhusu Uislamu na tuhuma zinazochochewa juu yake, ambapo alitoa maelezo haya alipokuwa ndani ya ndege...
Wednesday, 3 August, 2016
Dhana ya Jihad 12
Kuna baadhi ya maoni finyu ambayo hayakubaliki kamwe yanayoashiria kuwa ukafiri unaruhusia mapigano, na kwamba waislamu wanapaswa kuwapigania watu ili wawalazimishe kujiunga na Uislamu, au wabaki na dini yao pamoja na kulipa dhamana...
Sunday, 31 July, 2016
First5152535456585960Last