Vyombo vya Habari na Mitandao ya Mawasiliano ya kijamii kati ya kueneza na kupambana na fikra kali
    Kwa hakika makundi ya kigaidi yanatumia silaha nyingine mbali na mabunduki na mabomo, kwa kuwa makundi haya yametambua kuwa vita si lazima iwe kwa kutumia bunduki na risasi tu, bali zipo silaha nyinginezo ambazo hatari yake huwa...
Saturday, 12 June, 2021
Kwa lugha 12... kituo cha uangalizi cha Al-Azhar chazungumzia jambo la kuzishambulia nyumba za ibada katika video mpya
     Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar cha Kupambana na fikra kali kilitoa video 12 kwa lugha zake tofauti, ambazo zilikuwa kuhusu jambo la kuzishambulia nyumba za ibada na kulichambua kupitia kubainisha hatari yake kwa uhuru wa...
Monday, 7 June, 2021
Nigeria baina ya ugaidi na waliotoroka gerezani
     Kwa kweli, siku hizi,  Nigeria inakabiliwa na changamoto kadhaa. mwangalizi katika mambo ya Kiafrika, hasa katika nchi za Afrika Magharibi, ataona kwamba, nchini Nigeria, inakabiliwa na changamoto nyingi zinazoilemea....
Saturday, 10 April, 2021
Ugaidi na athari zake mbaya juu ya uchumi wa nchi
     Bila shaka sisi sote tunajua kuwa ugaidi ni mojawapo ya changamoto na matatizo makubwa yanayoukabili ulimwengu kote katika wakati wa hivi sasa, bali ndio tatizo hatari zaidi linalohangaisha jamii za kibinadamu, na hivyo...
Tuesday, 16 February, 2021
Hatari za Kuwaondoa Askari wa Marekani nchini Somalia
     Katikati ya vitendo vya kigaidi ambavyo Somalia inashuhudia, na mashambulio yanayofanywa na kundi la Al-Shabaab nchini dhidi ya sekta zote za jamii, na watu wote hata wakiwa raia au wanajeshi, vijana au wazee, au hata watoto....
Thursday, 11 February, 2021
123468910Last