Dhana ya Jihad 4

Faradhi ya Jihad  - ambayo baadhi ya watu hujaribu kuichafusha -  haikupitishwa ila kwa lengo la kutetea nafsi, imani na nchi.

Monday, 25 July, 2016
Dhana ya Jihad 3

Uagizo wa kufanya Jihad katika Uislamu haumaanishi kuagiza kufanya mauaji, bali ni uagizo wa kujitetea, kwa maana ya kupambana na anayetuvamia na kupigana naye, ili kuzuia uadui wake na kusimamisha uvamizi wake.

Monday, 25 July, 2016
Dhanaya Jihad 2
Jiahd katika falsafa ya Uislamu haipitishwi kwa ajili ya kupanua eneo la dola la kiislamu, au kuzikalia ardhi, au kudhibiti rasimali ya watu wengineo, au kuwashinda watu na kuwadhalilisha, au mambo yo yote mengineyo kati ya malengo ya kimada...
Saturday, 23 July, 2016
Dhanaya Jihad 1
Neno "Jihad" limekuja kwa minyambuliko yake katika Qurani Tukufu katika aya 31, wakati ambapo neno "Vita" limekuja katika aya 4 tu. Tunatambua kwamba maana ya Jiahd katika aya za Qurani na matiniza Sunna za Mtume Muhammad...
Saturday, 23 July, 2016
Wanadai .. Tunasahihisha
30
Tuesday, 5 July, 2016
First5657585961636465Last