Imamu Mkuu: Tunakataa kabisa uamuzi dhalimu wa Tramp, na matatizo ya waarabu na waislamu hayawapa ruhusa ya kupuuza suala la kunusuru Jerusalem “Al-Quds” ya kiarabu kwa haraka haraka
     Mheshimiwa Imamu Mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif Profesa; Ahmad Al-Tayyib ameonya kikali kutoka kwa matokeo mabaya yanayoweza kutukia kufuatia uamuzi wa Marekani kwa kutambua mji wa “Al-Quds” kama ni mji mkuu wa...
Thursday, 7 December, 2017
Daesh: Kuipenda nchi na uwananchi sio kutoka Uislamu
     Hakika tukitafuta vizuri katika dini yetu tutakuta  kwamba Mtume (S.A.W) alielezea upendo wake kwa Makkah nchi yake wakati alipofukuzwa na wenyeji wake na akakwenda kuelekea mji wa Al-Madinah akisema: {Ewe Mwenyezi...
Wednesday, 6 December, 2017
Uislamu na Mwingine
     1-    Utukufu wa Uislamu unadhihirika wazi kwa kumtendea haki ‎asiyekuwa mwislamu, na kwamba jirani yako ni kama ‎nafsi yako haijuzu kumdhuru wala kumfanyia maovu. 2-    Uislamu...
Monday, 4 December, 2017
Daesh: Jihad ni faradhi inayopaswa kupitishwa juu ya waislamu wote....
Daesh: Jihad ni faradhi inayopaswa kupitishwa juu ya waislamu wote, nayo inawajibika kuwaua wasio waislamu wote wakitoa dalili kwa kauli ya Mwenyezi Mungu (S.W): "Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini iwe ya Mwenyezi Mungu...
Saturday, 2 December, 2017
Uislamu huharamisha kushambulia Nyumba za Ibada
     1.    Uislamu umeita kuhifadhi nyumba za ibada na umezipa utakatifu wa hali ya juu, kwani hizo ndizo Nyumba za Mwenyezi Mungu ardhini, na kuzishambulia ni kitendo kibaya kinachokataliwa katika Uislamu hata...
Friday, 1 December, 2017
First5960616264666768Last