Wanadai .. Tunasahihisha
1
Wednesday, 8 June, 2016
Akimpokea mkuu wa Chama cha Kikristo cha Kidomkrasia cha kifaransa
Imamu Mkuu: * Al-Azhar ina hamu kubwa ya kupambana na mawazo makali..na tuko tayari kuwapa maimamu mafundisho na mazoezi. Mkuu wa Chama cha Kikristo cha Kidomkrasia cha kifaransa Frédéric Poisson: * Nchi za kimagharibi zinahitaji...
Friday, 27 May, 2016
Katika mkutano wake na Mkuu wa Bunge la kifaransa (Baraza la Seneti)
Imamu Mkuu: * Tuna hamu kubwa ya kupambana na mawazo makali..na tuko tayari kuanzisha kituo cha kiutamaduni mjini Paris kwa lengo la kufundisha mawazo sahihi ya dini. * Inabidi kuanzisha bodi inayohusiana na kusimamisha misikiti iliyopo...
Friday, 27 May, 2016
Katika mkutano wake na Mkuu wa Jumuiya ya kinyeji nchini Ufaransa
Imamu Mkuu: * Tunabidi kupanga kazi za maimamu na walinginiaji barani Ulaya kwa ajili ya kuchangia kueneza mawazo sahihi ya dini. * Usalama wa nchi na utukufu wa damu ni jambo la kuzingatiwa sana…tunaiunga mkono Ufaransa kupambana na...
Thursday, 26 May, 2016
Ukingoni mwa ziara ya Imamu Mkuu nchini Ufaransa…
Ukingoni mwa ziara ya Mheshimiwa Imamu mkuu profesa; Ahmad Al-Tayib, Sheikhi mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif na mkuu wa Baraza la wakuu wa waislamu kwenda mji mkuu wa Ufaransa, Paris…yule mheshimiwa alimwakilisha profesa; Ibrahim Al-Hudhud...
Thursday, 26 May, 2016
First6061626365676869Last