Kumtusi Mtume (S.A.W) kwa madai ya uhuru wa maoni ni Silaha hatari ya Wamagharibi ya kueneza Islamophobia
     Baada ya shambulio la kigaidi lililotokea 11 Septemba 2011 huko nchini Marekani, vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) viliongezeka sana barani Ulaya na katika ulimwengu wa kimagharibi kwa ujumla. Kuvunjiwa heshima...
Sunday, 31 January, 2021
Usamehevu ni msingi wa kutatua shida nyingi za vurugu na msimamo mkali
     Hakika, jamii hivi sasa zinakabiliwa na magonjwa mingi ya kijamii na ya kimaadili yanayowakilishwa katika kuenea kwa vurugu na ukatili. Jambo hili linarejea kwa kuacha misingi ya Uislamu ambayo inalazima kuwepo rehema,...
Wednesday, 27 January, 2021
Kituo cha uangalizi cha Alazhar
     Kituo cha Al-Azhar cha Kupambana na fikra kali kilitoa leo asubuhi, video kwa lugha kumi na mbili chini ya anuani: "Uhuru wa kidini... msingi halisi wa Kiislamu."  Video hii ni miongoni wa video nyingi...
Sunday, 10 January, 2021
"Maulama Wakuu wa Al-Azhar": kwa mujibu wa Sheria ni wajibu kulazimika na kufuata hatua za kujikinga zilizowekwa na mamlaka yanayohusika na wanaharimisha kutozifuata...
     "Maulama Wakuu wa Al-Azhar": kwa mujibu wa Sheria ni wajibu kulazimika na kufuata hatua za kujikinga zilizowekwa na mamlaka yanayohusika na wanaharimisha kutozifuata. "Maulama Wakuu wa Al-Azhar": Nafasi...
Tuesday, 29 December, 2020
Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar chathamini wito wa ya Rais Abdel Fattah El-Sisi ya kuzuia kudharau maadili ya kidini
     Jana, Jumatatu, Kituo cha uangalizi cha Al-Azhar cha Kupambana na fikra kali kimefuata maelezo ya Rais wa Misri Abdel Fattah El-Sisi, kupitia mkutano wa pamoja wa waandishi wa habari uliokusanya baina yake na raisi wa Ufaransa...
Wednesday, 9 December, 2020
First2345791011Last