Hotuba ya Imamu Mkuu kwenye Mkutano wa "Ahlu-Sunnah na Al-Jamaa Ni nani ", Grozny, Chechan
Kwa Jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu Shukrani zote ndizo za Mwenyezi Mungu, Mola wa Malimwengu kote, Swala, Salamu na Baraka zote zimfikie Bwana wetu Mtume Mohammad (S.A.W.) pamoja na jamaa na maswahaba wake wote...
Sunday, 28 August, 2016
Dhana ya Jihad 16
Mtume Mohammad (S.A.W.) alikuwa akisema kwa waislamu: "Msitamani kukutana na maadui, na Mmwombeni Mwenyezi Mungu Akupeni amani", hapa tunadokeza kwamba waislamu hawakupigana na Wahabashi wala hawakuwa na vita nao, ingawa maeneo ya...
Saturday, 6 August, 2016
Dhana ya Jihad 14
Sio sahihi kwamba Uislamu ni dini ya upanga, kama yanavyotajwa katika maandishi ya baadhi ya waliojishughulikia kuuchafusha Uislamu na ustaarabu wake, jambo linalohitaji kujadiliwa kirefu, lakini tutatosheleka kudokeza kuwa Qurani iliyopitisha...
Saturday, 6 August, 2016
Dhana ya Jihad 15

Neno la "Saif" - upanga - sio mojawapo matamshi ya Qurani wala halikutajwa kabisa katika aya yo yote katika Qurani, ingawa upanga wakati wa kuteremshwa kwa Qurani ulikuwa ishara ya ushujaa na ushindi.

Saturday, 6 August, 2016
Dhana ya Jihad 13
Kwa hakika Uislamu umeharamisha kuwaua watoto, wazee, padri, kipofu, mlemavu na mwajiriwa waliomo kampeni mwa maadui, kwani watu hawa hawatazamiwi kupigana wala kufanya uadui, kwa hiyo imeharamishwa kuwaua ingawa wao ni makafiri, kama ikiwa...
Saturday, 6 August, 2016
First6566676870727374Last