Falsafa ya adhabu ya mipaka katika Uislamu
Mipaka katika Uislamu imepitishwa kama adhabu zilizotajwa katika matini na zilizoainishwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili ya kuhifadhi mahitaji ya kimsingi ya mtu ambayo maisha na kuwepo kwake yanayategemea, kama vile nafsi, nasaba, mali na akili,...
Friday, 7 August, 2015
Uislamu hauharamishi kujenga makanisa
Kwa hakika Uislamu unaheshimu dini ya wengine kupitia kwa yaliyokuja katika Qurani tukufu, Mwenyezi Mungu Anasema (Angeli taka Mola wako Mlezi wangeli amini wote waliomo katika ardhi. Je, wewe utawalazimisha watu kwa nguvu mpaka wawe Waumini)....
Friday, 7 August, 2015
Uislamu wahimiza kushirikiana baina ya dini na tamaduni mbalimbali kwa ajili ya kuilinda heshima ya mwanadamu na kuzitetea haki zake
Hakika sisi tunaishi katika ulimwengu ambao maslahi za umma zimeingiliana, haikubaliki kwa umma fulani kuishi mbali na umma  zingine, kwa hivyo sisi tunahitaji misingi wazi tunaifuata katika uhusiano wetu pamoja na wengine kwa njia...
Friday, 7 August, 2015
Demokrasia na Uislamu
Je, ni jambo la kikafiri kama wanavyodai wenye mawazo makali?
Friday, 7 August, 2015
Uislamu huheshimu Uhuru wa Kutoa Maoni
Uislamu umeheshimu utu wa mwanadamu na umemwapa haki zinazothibitisha utu wake na umemlazimisha kufanya wajibu zinazofaa na cheo chake, kazi yake katika maisha, na bila shaka haki ya kutoa maoni ni muhimu sana zaidi kuliko haki zingine...
Friday, 7 August, 2015
First6970717273747678