Dhana ya Hijabu na Masharti yake ya kisheria
Kwa hakika Uislamu umezigatia mavazi ni kiwakilishi cha maadili, tabia nzuri ambazo jamii ya kiislamu inaziamini, na kwamba Mwenyezi Mungu ametupa neema kubwa sisi  wana wa Adam (Banu Adam) kwa mavazi yanayofunika miili yetu, ukatuombea...
Friday, 7 August, 2015
Falsafa ya adhabu ya mipaka katika Uislamu
Mipaka katika Uislamu imepitishwa kama adhabu zilizotajwa katika matini na zilizoainishwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili ya kuhifadhi mahitaji ya kimsingi ya mtu ambayo maisha na kuwepo kwake yanayategemea, kama vile nafsi, nasaba, mali na akili,...
Friday, 7 August, 2015
Uislamu hauharamishi kujenga makanisa
Kwa hakika Uislamu unaheshimu dini ya wengine kupitia kwa yaliyokuja katika Qurani tukufu, Mwenyezi Mungu Anasema (Angeli taka Mola wako Mlezi wangeli amini wote waliomo katika ardhi. Je, wewe utawalazimisha watu kwa nguvu mpaka wawe Waumini)....
Friday, 7 August, 2015
Uislamu wahimiza kushirikiana baina ya dini na tamaduni mbalimbali kwa ajili ya kuilinda heshima ya mwanadamu na kuzitetea haki zake
Hakika sisi tunaishi katika ulimwengu ambao maslahi za umma zimeingiliana, haikubaliki kwa umma fulani kuishi mbali na umma  zingine, kwa hivyo sisi tunahitaji misingi wazi tunaifuata katika uhusiano wetu pamoja na wengine kwa njia...
Friday, 7 August, 2015
Demokrasia na Uislamu
Je, ni jambo la kikafiri kama wanavyodai wenye mawazo makali?
Friday, 7 August, 2015
First7172737475767880