Infographic
                   
Wednesday, 11 November, 2020
Al-Azhar Al-Sharif yalaani mashambulizi ya kigaidi ya Vienna
     Al-Azhar Al-Sharif na Mheshimiwa Imamu mkuu wake Profesa/ Ahmed Al-Tayyib, Sheikh wa Al-Azhar, analaani mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea  katika masaa yaliyopita katika maeneo mbalimbali ya mji mkuu wa Austrian...
Wednesday, 4 November, 2020
Katika hotuba yake mbele ya mkutano wa kimataifa kwa ajili ya amani, uliofanyika mjini mkuu wa Italia, Roma...
Katika hotuba yake mbele ya mkutano wa kimataifa kwa ajili ya amani, uliofanyika mjini mkuu wa Italia, Roma. Imamu Mkuu Sheikh wa Al_Azhar: Kuutusi dini na vitakatifu vyake kwa madai ya "uhuru wa kujieleza" ni kiwango kisicho sawa...
Sunday, 25 October, 2020
Papa Francis: Sheikh wa Al-Azhar alikuwa chanzo cha msukumo katika kuandika ujumbe mpya wa kipapa
     Papa Francis, Papa wa Kanisa la Kikatoliki, alisema kuwa Mheshimiwa Imamu Mkuu profesa/ Ahmed Al-Tayyib, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif, alikuwa msukumo katika kuandika ujumbe mpya wa kipapa "Sisi sote ni...
Tuesday, 13 October, 2020
Sheikh wa Al Azhar kwa Rais wa Shirika la Maendeleo la Marikani: Kusimamisha vita na chuki ndio njia rahisi kabisa ya kutatua matatizo ya ulimwengu
     Rais wa shirika la maendeleo la Marekani: Tunashughulika kwa kusaidiana na Al-Azhar kwa ajili ya kutokomeza mizizi ya chuki na ugaidi ulimwenguni Mheshimiwa imamu Mkuu, Profesa Ahmed Al-Tayyib, Sheikh wa Al-Azhar Al-Sharif,...
Monday, 12 October, 2020
First34568101112Last