Al-Azhar Na Kupambana Na Mawazo Makali Afrika
     Katika wakati ambapo nchi kubwa na mashirika ya kimataifa hazikuwepo na mgogoro wa Afrika, na matukio ya vurugu yaliyongozeka hayakuathirika nao, Al-Azhar Al-Sharief haikusimama bila ya kufanya kitu chochote mbele ya hali...
Wednesday, 3 July, 2019
Uislamu ni dini ya Amani na Usalama
     Uislamu – kimsingi - ni dini ya amani. Jina lake linatokana na neno la kiarabu “Silm” ambalo lina maana mbili: Ya kwanza ni “kujisalimisha kwa Allah”. ya pili ni...
Sunday, 30 June, 2019
Imamu Mkuu wa Al_Azhar akibainisha maoni yake juu ya matokeo ya Sri_lanka ya kigaidi...
Imamu Mkuu wa Al_Azhar akibainisha maoni yake juu ya matokeo ya Sri_lanka ya kigaidi: sifikiri kwamba mwanadamu fulani anawashambulia watu wenye usalama katika siku ya idi ‎yao. Hakika, maumbile ya magaidi hawa yanakwenda kinyume na...
Sunday, 21 April, 2019
Al-Azhar Al-Sharif: Golan ni eneo la Syria la kukaliwa hakuna uhalali wa mamlaka ya ukoloni
     Al-Azhar Al-Sharif‎ inalaani taarifa ya utawala wa Marekani siku ya Alhamisi jioni kuhusu kuusaidia utawala‎ wa kiyahudi unaodaiwa dhidi ya eneo la Golan la Syria linalokaliwa. Al-Azhar Al-Sharif inasisitiza...
Tuesday, 26 March, 2019
Wakati wa mkutano wa Imamu Mkuu wa Al-Azhar na balozi wa New Zealand mjini Cairo: Imamu Mkuu wa Al-Azhar anasifu kwa msimamo wa waziri mkuu wa New Zealand kuhusu shambulio la Christchurch
     Mwanzoni mwa mkutano huo, balozi huyo amefikisha rambirambi ya serikali ya New Zealand chini ya uongozi wa “Jasinda Arden” kwa Imamu Mkuu kuhusu wahanga waliokufa katika shambulizi la kigaidi lilolengea...
Thursday, 21 March, 2019
First45679111213Last