Kuuza silaha katika zama ya Fitina ni Haramu

5

  • | Thursday, 2 February, 2017

Kwa kweli maelekezo ya kimungu na mafundisho ya kitume hutubainishia njia ya maisha yetu kwa ajili ya kuhifadhi usalama wa jamii zetu, na kuzuia kuenea fitina na ufisadi katika ardhi. Kutokana na hali hiyo, dini yetu tukufu imetukataza kuuza silaha katika zama ya Fitina, kwani inaweza kusababisha kuchochea uadui, jambo linalopelekea kutukia mauaji na kuongezeka idadi ya waathirika wasio na hatia wakiwemo watoto, wazee na wanawake.

Mwenyezi Mungu Mtukufu Amesema: Na ikiwa makundi mawili katika Waumini yanapigana, basi yapatanisheni. Na likiwa moja la hao linalidhulumu lingine, basi lipigeni linalodhulumu mpaka lirejee kwenye amri ya Mwenyezi Mungu. Na likirudi basi yapatanisheni kwa uadilifu. Na hukumuni kwa haki. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wanaohukumu kwa haki”.

Pia, Mtume (S.A.W.) "Amekataza kuza silaha katika zama ya fitina" kutokana na hadithi ambayo imesimuliwa na Bazzar na Al-Bukhari.

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.