Hotuba ya kidini

  • | Wednesday, 8 November, 2017

1- Hotuba sahihi ya kidini ni sababu mojawapo sababu muhimu za kuleta utulivu wa jamii, ambapo inachangia sana katika kuleta usalama na amani.
2- Utengenezaji upya wa hotuba ya kidini unapaswa usivuke misingi ya dini na lazima uende sambamba na kipimo cha sheria na akili wala usiachiwe kwa wale wasio na ujuzi.
3- Ukiukaji misingi ya akida na kuichupa mipaka yake na kukanusha yaliyotulizana akilini mwa watu hauhudumu ila nguvu ya msimamo mkali na ugaidi.

 

Kituo cha Al-Azhar cha Kupambana na Mawazo Makali
Kitengo cha Lugha za Kiafrika

 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.