Daesh: kujiunga na nchi kunapingana na kujiunga na Uislamu!

  • | Saturday, 18 November, 2017
Daesh: kujiunga na nchi kunapingana na kujiunga na Uislamu!

     Kwa kweli hakuna upingano baina ya kujiunga na nchi au taifa na kujiunga na dini, ila ikiwa kujiunga na nchi kutasababisha kuvuka makatazo ya Mwenyezi Mungu. Ama mwislamu akijiunga na dini yake, nchi yake na watu wake ambapo alizaliwa na akaishi nao, na mila yake ikiafikiana na mila zao na maadili pia bila ya kuvuka sheria ya Mwenyezi Mungu, basi uko wapi upingano wowote baina ya kujiunga na dini na kujiunga na taifa, Mwenyezi Mungu Anasema: {Na walio na maskani zao na Imani yao kabla yao, wanawapenda walio hamia kwao}, basi aya hiyo ilitanguliza neno la "maskani" kabla ya neno la "Imani", na katika hiyo ipo ishara kwa umuhimu wa taifa na upendo wa kujinasibisha kwake, kwa kuwa Mtume (S.A.W) wakati wa kuhama Akaitazama Makkah na Akasema: "naapa kwa jina la Mwenyezi Mungu hakika napenda Makkah zaidi kuliko mahali pengine na kama watu wa Makkah hawangalinilazimisha kuhama, basi nisingalihamia Makkah".         

 

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.