Uislamu huheshimu Uhuru wa Kutoa Maoni

  • | Friday, 7 August, 2015
Uislamu huheshimu Uhuru wa Kutoa Maoni

Uislamu umeheshimu utu wa mwanadamu na umemwapa haki zinazothibitisha utu wake na umemlazimisha kufanya wajibu zinazofaa na cheo chake, kazi yake katika maisha, na bila shaka haki ya kutoa maoni ni muhimu sana zaidi kuliko haki zingine zinazotumiwa na mwanadamu. Basi kwa kutumia uhuru wa kutoa maoni, binadamu anaweza kutoa maoni ya kifikra kuhusu masuala mbali mbali yakiwa yakihusiana na mtu mwenyewe au familia yake au jamii yake.
 Hakika Uislamu umeibainisha fremu kuu ambayo mwanadamu anaweza kupitia kwake hutumia haki yake katika kutoa maoni, kwa kuwa uhuru ni dhana pana inayohitaji kudhibitiwa kwa sababu kutofauti katika mitazamo kuhusu dhana hii, ambapo uhuru unamaliza wakati wa kuanza uhuru wa mwengine. Na baadhi ya watu wameelewa uhuru kwa njia kosa na wamefuata njia mbalimbali bila ya mipaka au vikwazo, jambo lililosababisha hali ya fujo, hakika hitilafu kati za jamii siyo katika msingi wa uhuru wa kutoa maoni, bali katika njia yake, na katika aina  yanayoruhusiwa kutoa maoni au yanazuliwaa.      
Jamii zinapeneleana katika aina yanyaoruhusiwa na yanayozuliwa
Haiwezekani kukubali kumtusi mwingine kwa udai wa uhuru, kwani uhuru wa kutoa maoni haumaanishi kutohusika mwanadamu kwa anayetoa, kwa dalili kuwa wanowatusi wengine kwa udai wa uhuru wanazuiliwa kutoa maoni juu ya masuala yaliyozuiliwa na sheria, kama kushutumu nchi kwa mtu anayetoa siri inyohusiana na nchi hiyo, au anayeapa kwa mwongo mbele ya jaji
Hakika Hakuna jamii ina uhuru wa kutoa maoni bila ya mipaka iwapo imefika daraja juu ya kidemokrasia na kiliberali, kwa sababu itaingia katika hali ya fujo, na haiwezekani kuwepo jamii uhuru wa kutoa maoni inazuiliwa kamwe iwapo imefika daraja  ya udekteta na dhuluma.
Uhuru wa kutoa maoni katika Uislamu ni wajibu wa mtawala na mtawaliwa, mtawala anatakiwa kuutekeleza kupitia njia ya kushauriana, kuhakikisha uadilifu na usawa wa nafasi, na raia anatakiwa kuutekeleza kama ni mmoja au wingi, na bila ya kuwepo uhuru basi mfumo wa jamii itatetemeka, na Mtume (S.A.W) alifanya hivyo pamoja na maswahaba zake kupitia matokea ambaye aliwashauriana nao na wamejieleza maoni yao kwa uhuru kamili.
Na makhalifa waliyoongoka amefanya hivyo baada ya mtume (S.A.W) amefariki dunia pamoja na raia zao, mpaka haki ya kutoa maoni ilikuwa ikahakikishwa kwa watu wote wanawake na wanaume, basi mwanamke mmoja ametoa maoni yake mbele ya Omar Ibn El Khattab kuhusu suala la mahari, kwa sababu Omar amewataka watu wasizidishe katika mahari, basi mwanamke amemjibia kwa ujasiri kwa njia kinyume cha rai yake, jambo lililomfanya Omar(R.A) _ ingawa akili yake ilikuwa nzuri _ amesema mwanamke amesema kweli na Omar amesema kosa…….
Uhuru wa kutoa maoni imekiriwa na imehakikishwa katika Uislamu kwa njia inayemfanya mwanadamu kuhisi ubinadamu wake.

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.