Kwa anuani: Mazungumzu ya amani pamoja na Mheshimiwa Imamu mkuu ukaribisho wa mji kwa Uislamu wa kiwastani

Gazeti la Umma (La Nazione Firenze)

  • | Wednesday, 17 June, 2015
Kwa anuani: Mazungumzu ya amani pamoja na Mheshimiwa   Imamu mkuu ukaribisho wa mji kwa Uislamu wa kiwastani

 

 

Barua ya kihistoria katika katika mji mmoja wa Ulaya inliyounganisha imani na uhuru. Mheshimiwa Imamu mkuu wa Al-Azhar Ahmed Al-Tayyib, kwa mara ya kwanza katika ziara yake rasmi kwenda Ulaya, alitoa hutoba ya ujasiri kuhusu kufahamiana (uelewa) na kujaribu kurudisha maelewano kwa mahusianu baina ya mashariki na magharibi (katika chumba kikubwa kinakusanya kiasi cha watu mia tano walioshiriki katika mkutano wa (mazungumzo ya staarabu) ambao ulipangwa baada ya kutoa wito ya jumuia ya (Sant Idigo) na chuo kikuu cha AL-Azhar kwa lengo la kusahihisha makosa ambayo yanatenga uhisiano usio rahisi lakini ni wa lazima, kwenye eneo la mashariki ya kati linalokumbwa na uwezekano wa kuzuka vita.

Umuhimu ulikuwa kwa kiwango cha juu sana lengo ni kuanzisha msingi wa pamoja wa uelewano, hayo aliyoyasema AL-Tayyib, msingi  unaoweza kuruhusa na kufungua barabara mbele ya kukubaliana baina ya staarabu mbili  kwa ajili ya kuimarisha misingi ya kidemokrasia na uhuru na haki za binadamu. Vile vile, wananchi wa mashariki waislamu na wakristo ni lazima wasahihishe maoni yao na wasahihishe – wabadilishe - hisia zao zinazoambatana na woga na kutokuwa na amani ambao wakati mwingine unafikia chuki na kupendelea kulipiza kisasi. Hakuna sababu ya kujitokeza kwa chuki ya kidini, na hakuna chaguo nyingine isipokuwa kushirikiana na kusaidiana ili kuanzisha ulimwengu kutokana na msingi wa mazungumzo ya kijioghrafi na ulimwengu bora zaidi.

 

 

Print
Categories: Habari
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.