Anuani : Imamu mkuu " hapa ni mazungumzo baina ya dini"

Kutoka jarida la "Clorriere Fiorentino

  • | Monday, 15 June, 2015
Anuani : Imamu mkuu " hapa ni mazungumzo baina ya dini"

 

 

  Al Tayyib katika mkutano wa Mashariki na magharibi: Sisi katika hatari ya ukabiliana wa maafa, ni lazima tuzungumzane pamoja ".

·        " Ugaidi ni hatari  inayotutisha sisi sote, ni kama mgonjwa  ambao ni lazima kuukoma. Tanzim, makundi, na harakati zenye silaha zinatisha ulimwengu, kwa jina la dini, zikatumia maandiko ya takatifu  kama njia ya kutoa sheria juu ya uadui wao. Na juu ya kuwaua wengine, na kuiba na  unyang'anyi mali zao na kuwalazimisha. Maneno makali na maguvu dhidi ya ugaidi wa kiislamu, maneno hayo yamesemwa jana katika jumba la Fiko " PALAZZO VECCHIO" katika mkutano wa "Mashariki na Magharibi, mazungumzo ya staarabu" kwa kupitia Imamu Mkuu Profesa Ahmad Al Tayyib wa chuo kikuu cha Quran" Al Azhar" mjini Kairo (nayo ni kituo muhimu cha Kidini na cha kisunni katika ulimwengu) na hiyo wakati wa ziara yake ya rasmi ya kwanza kwa Ulaya, nayo ni mkutano wa kihistoria umeitwa na jumuia ya Saint Ijidio, na pia kwa ushiriki wa wanachama wa mji Flurensa, na halmashauri za kidini na ya kirasmi zimeushiriki kutoka nchi zote, pamoja na ushirki Romano Brudi, na mwanzishi wa jumuia ya Saint Ijidio Andria Rikardi, pamoja na rasmi wa mazungumzo baina ya dini katika bunge la Ulaya " Antonio Tagani ".

·        Mazungumzo ya Al-tayyib yaliofuatwa na vifijo vingi sana yanazingatia tuhuma wazi kwa ugaidi, lakini pia ni tuhuma wazi kwa upendeleo na harakati ya mashariki na upendeleo na harakati za magharibi na misimamo yao isiyo haki" wamashariki wa waislamu wana wajibu wazi, lakini haibainishwi bado, wanalazimiwa kusahahisha maoni yao kuhusu magharibi. Kuna hisia imeeneza katika mashariki iliyojaliwa kwa hofu na kutokuwepo amani, shaka na wasiwasi ya kuwatia madhara maalumu.

·        Hofu hizo za kiziada, zimeruhusia kwa uhusiano baina ya makundi mawili, na zimesababisha mapambana makali, sisi tunakabili hatari ya kufanya maafa, kutokana na kauli ya Imamu kuwa " ni lazima kubadilisha fikra mbaya hii kwa fikra nzuri nyingine, taamuli inaona ustaarabu wa magharibi kama ustaarabu wa kibinadamu, ambayo ingawa unakuwepo baadhi ya makosa, basi imehuisha ubinadamu, na hiyo kwa kuingia Teknolojia.

 

 

Print
Categories: Habari
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.