Imamu Mkuu ashiriki katika jeneza ya kijeshi ya Dkt; Botrous Ghali

  • | Friday, 19 February, 2016

Mheshimiwa Imamu Mkuu wa Al-Azhar Al-Shareif profesa; Ahmad Al-Tayib atashiriki katika jeneza ya kijeshi ya dkt; Botrous Ghali katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa mataifa aliyefariki Jumanne iliyopita.
Al-Azhar Al-Shareif ilikuwa imemwombeleza marehemu mkubwa wa diplomasia ya kiarabu, ikisifu sana juhudi zake za kisiasa, kidiplomasia na kisheria, na mafanikio yake katika kuhudumia umoja wa kiarabu na wa kiafrika, na pia katika uwanja wa sheria ya kimataifa, haki za binadamu, maendeleo ya kiuchumi na ya kijamii, ikitoa maombelezi makubwa kwa familiya ya marehemu na wanafunzi wake.

 

Print
Categories: Habari
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.