Imamu Mkuu wa Al_Azhar akibainisha maoni yake juu ya matokeo ya Sri_lanka ya kigaidi...

  • | Sunday, 21 April, 2019
Imamu Mkuu wa Al_Azhar akibainisha maoni yake juu ya matokeo ya Sri_lanka ya kigaidi...

Imamu Mkuu wa Al_Azhar akibainisha maoni yake juu ya matokeo ya Sri_lanka ya kigaidi: sifikiri kwamba mwanadamu fulani anawashambulia watu wenye usalama katika siku ya idi ‎yao. Hakika, maumbile ya magaidi hawa yanakwenda kinyume na mafundisho ‎ya dini zote, mimi ninamwomba Mwenyezi Mungu Awape watu wa wahanga subira na Awapone ‎wajeruhiwa.

Print
Categories: Habari
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.