Hukumu ya Ubakaji wa mke kwa maoni ya Uislamu

  • | Sunday, 3 April, 2022
Hukumu ya Ubakaji wa mke kwa maoni ya Uislamu

     Ubakaji wa mke kwa maoni ya wana fiqhi wa kiislamu inakuwa katika hali ya kuomba mumu kwa kufanya ngono na mkewe katika upande wa Hedhi  au kwa njia isiyo kawaida  au wakati wa Ibada ya faridha ya Saumu, na Mwenyezi Mungu alikataza hiyo na alimpa mke haki yake ili kuzuia mume kufanya hiyo; alisema Mwenyezi Mungu: (Na wanakuuliza juu ya hedhi. Waambie, huo ni uchafu. Basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi.Wala msiwaingilie mpaka watahirike. Wakisha tahirikabasi waendeeni alivyo kuamrisheni Mwenyezi Mungu.Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda wanaotubu na huwapenda wanaojisafisha.){Al-Baqarah, 222};
Na angetumia nguvu basi yeye ni mwenye dhambi ya kisheria, na mke ana haki kuomba kumwaziriwa mbele ya Kadhi, na aidha mwanamke ana haki kujitenga mume wake anapokuwa na ugonjwa wa ulioambukiza, au anapotumia nguvu iliyoudhia mwili wake wakati ngono, na kwa upande mwingine  Uislamu ulitoa sheria ya kufanya kwa ngono katika hali ya mapenzi na huba, na ulifanya hiyo kutoka ucha Mungu, Mwenyezi Mungu alisema: (Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini.){Al-Baqarah, 223}. 
Utangulizi huu ulielezwa na Mtume S.A.W na alisema: (matatu kutoka ujeuri:- na alitaja kutoka kwake- na inapokuwa ngono baina ya mume na mke wake bila ya utangulizi kama: kichekesho au kubusu; na mmoja wenu halifanya ngono na mke wake kama mnyama na mnyama mwingine)  na Al-Dailamy katika " Musnad Al-Firdaus" kutoka hadithi ya Anas Ibn Malik R.A, na hadithi hii ingekuwa dhaifu lakini maana yake inaanisiwa hasa katika fadhila za matendo. Lakini mwanamke angechukia mume wake na ngono yake basi sheria inamamirisha kuvumilia; na hiyo ili kuhifadhia juu ya familia na kupanga haki zilizokuwa ndani ya familia; Mwenyezi Mungu alisema: (basi huenda mkakichukia kitu, na MwenyeziMungu ametia kheri nyingi ndani yake.){An-Nisa,19}, na anaposisitiza kuchukia basi sheria inamwongea kuomba haki ya kutenganisha ili kuzuia hali ya kupigana na kukinzana iliyoleta madhara, na katika hali hii kutenganisha ni ovu lenye madhara dogo kuliko maovu mawili, na kukinga ufisadi mgomo kuliko ya fisadi mbili.
Na kwani uhusiano huu una ubinafsishaji na tofauti, na kila uhusiano wa ndoa bila ya kutaka kwa mke hauzingatii ubakaji katika ndoa au vuruju dhidi ya mwanamke; kwani hiyo kutoka sifa zilizoficha zilizobadilisha, na si kutoka sifa zilizo wazi zilzokuwa na taratibu ambazo zinawezekana kutoa hoja na dalili juu yake.
Na usimamizi wa mwanamume uliotajwa na Mwenyezi Mungu katika kauli yake: (Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliana Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwamali yao){An-Nisa,34}, huu ni kwa hali ya kusimamisha mambo ya mke, na jukumu la utunzaji na uangalifu wake, na kila ya hayo ni juu ya mwanamume kwa manufaa ya mwanamke, na inalazimisha juu ya mume kuleta muhuri na matumizi, na mke anarithi pia na warithi wengine, na kwa hiyo hali ya kukanusha usimamizi huu ni kama ubaguzi dhidi ya mke.
Na kuhusu mwito wa usawa baina mume na mke kwa sura kamili, Uislamu ulikiri usawa na haukiri kuwa sawasawa katika kila kitu, na usawa huu katika kauli ya Mwenyezi Mungu: (Hakika sipotezi kazi ya mfanya kazi miongoni mwenu, akiwa mwanamume au mwanamke, kwani ni nyinyi kwa nyinyi. ){Aal-Imran,195} na alisema: (Mwenye kutenda mema, mwanamume au mwanamke, nayeakawa ni Muumini, tutamhuisha maisha mema; na tutawapaujira wao kwa bora ya waliyo kuwa wakiyatenda.){An-Nahl,97}, na katika hadithi : (hakika wanawake ni kama mifano ya mwanamume) na Abo-Dawood na Al-Tirmizy na wengineo kutoka hadithi ya Aisha R.A, lakini sheria haikiri hali ya kuwa sawa sawa katika kila kitu, kwani kuna tofauti katika sifa na majukumu yao yaani mume na mke; Mwenyezi Mungu alisema: (Na mwanamume si sawa na mwanamke.){Aal-Imran,36}, na : (Wala msitamani alicho wafadhili Mwenyezi Mungu baadhi yenu kuliko wengine. Wanaume wana fungu katika walio vichuma, na wanawake wana fungu katika walio vichuma.){An-Nisa,32}, na kutokana na ibn Abas R.A kwamba Mtume S.A.W aliwalaanisha walioshabihia na wanawake kutoka wanamume na aliwalaanisha walioshabihia na wanamume kutoka wanawake) Abo Dawood na Al-Tirmiziy na Ahmed.
Na kauli ya Mwenyezi Mungu: (Nao wanawake wanayo haki kwa Sharia kama ile haki iliyo juu yao. Na wanaume wana daraja zaidi kuliko wao.){Al-Baqarah,228}, hii ni daraja ya usimamizi ambayo iliongezwa na Uislamu na ilikuwa katika naye kutumia sifa na majukumu tofauti tofauti baina ya mume na mke ili kusaidiana na hazitumia katika pigano kati yao; Mwenyezi Mungu alisema: (Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliyemcha Mungu zaidi katika nyinyi. ){Al-Hujurat,13}.
Na kuhusu kauli ya kusawizisha kwa kila kitu katika matumizi na usimamizi na uongozi wa familia na kuzuia utiifu wa mke kwa mume wake hili ni jambo linaloleta ghasia iliyokataza Waislamu wanamume na wanawake. Na hiyo iliyotajwa ilitokana na ridha za wanawake Waislamu na sio kama fiqhi ya kiume, kama ilivyosemewa na wenye maoni ya haraka haraka katika Fiqhi ya Uislamu na ukweli wake.
 

Print
Categories: Makala
Tags:
Rate this article:
5.0

Please login or register to post comments.