Fadhila ya Kujinasibisha kwa nchi

  • | Saturday, 31 December, 2022
Fadhila ya Kujinasibisha kwa nchi

     Miongoni mwa maadili ambayo tunatamani kutupatia nafasi kubwa kwake  katika maisha yetu ya binafsi na ya ujumla ni maadili ya kujinasibisha, na dhana ya kujinasibisha inamaanisha kunasibisha ambako kunaambatana na utiifu na kujali kwa pahala maalumu au upande Fulani au mtu mmoja au taasisi yenye nafasi muhimu katika maisha yetu. Kwa mfano kuna kujinasibisha kwa nchi, kujinasibisha kwa taasisi ambayo mtu anafanya kazi katika yake, na kujinasibisha kwa fundi fulani, na kujinasibisha kwa familia, na kujinasibisha kwa akida fulani, au fikra fulani, na kwa ajili ya hayo tunaona wenye fundi moja wanaundana chama au jumuia inayowaunga na wao wanajinasibisha kwake na wanaiangalia na wanahisia kwake na utiifu.

Ni wazi kwamba kujinasibisha kunasimamisha juu ya msingi wa kuwa upande ambao ninajinasibisha ulinipa  mema, na mimi ninaukopewa kwake kwa fadhili na kushukuru, na ninaona kwamba ni wajibu kunihifadhia tajamali hii na ninaurudia deni hii, kwa mfano wa hiyo yaliyotuhisia kutoka kujinasibisha na utiifu kwa nchi na nchi ina nafasi kubwa na cheo ya pekee nyoyoni, nchi ni pahala pa kutuzaliwa na kutuishi juu ya ardhi yake na tunafurahisha na heri yake na tunapumua hewa yake, na nchini tunapata makumbukumbu yanayopendezwa sana katika utoto wetu na uzee wetu na hata punde ya mwisho wa maisha yetu. Hatuwezi kukubali nchi nyingine badala yake katika hali yoyote au hata ingekuwa katika mateso na matatizo na hali hii inayofanya Amiri wa washairi Ahmad Shawky ili kusema:

 Nchi yangu Kama ilinifanya jeuri ni azizi na adhimu

           Na watu wangu Kama wananifanya bahili ni wakarimu

 na kutokana na hisia hii kwa upendi na ufahari ambao mwananchi anahisia juu ya nchi yake, ilikuwa kauli ya Mtume (S.A.W) wakati wa alianza kuhama kutoka Makka katika Madina na alitazama kwa nchi yake ipendayo Makka na alisema: “ naapa kwa Jina la Mwenyezi Mungu kwamba ninakupenda zaidi kuliko nchi zote ardhini, na kama watu wako wanamfanya mimi kuihama, basi sikuhamia”[1] na hiyo ingawa yaliyomkutana katika nchi yake Makka kutoka aina za adhabu na haini na uadui kwa mikono ya wananchi wa Makka ambao Mtume baada ya kurudia kwake tena Makka kama mfunguze na mshindi aliwasamehe.

Na hisia ya kujinasibisha kwa nchi na utiifu kwake ni inayofanya wananchi wanaandaa kuilinda dhidi ya hatari yoyote inayoitisha na wanajitolea damu yao na roho zao kwa ajili yake na ulinzi wa kiburi chake na heshima yake.

  Hakika maadili ya kujinasibisha kwa nchi si neno linalosemwa tu au nyimbo ya kiari tunaikariri kwenye minasaba, bali linahitajia kwa daima kwa kuligeuka kwa ukweli ili kwa kitendo kinachoonwa kinachoweza kuinua shani ya nchi na kuiinua hadhi yake katika amani na vita kwa usawa na kutoka hiyo tunapozungumzia juu ya maadili ya kujinasibisha kwa nchi, hayo yanahitajiwa kutoka nasi kutoa hoja za kikweli mara kwa mara juu ya kujinasibisha huku, na kujinasibisha kwangu kwa nchi kungehitajia kuihifadhia na kuilinda kutoka kila maadui na mashambulizi juu ya ardhi yake na mbingu wake, basi nitaombwa kwa kiasi hiyo hiyo ili kuilinda ardhi ya nchi hii na mbingu wake kutoka uchafuzi kwa aina yoyote , ili wananchi wanafurahisha na mazingira safi.

Na hiyo inahitajia na sisi ili tunalea watoto wetu juu ya kushikamana kwa usafi wa njia zetu mijini na vijijini, na tunawazoea juu ya utaratibu na kuwajibika ndani ya nyumba na katika kazi na shule, n.k., na tunapandisha katika nafsi zao upendo wa elimu na kuongeza kwake na uhodari katika yake, na tunatunza ndani yao upendo wa utendaji kwa ajili ya nchi na wananchi, na kutoa misaada kwa wahitaji, na ulinzi wa mali za nchi hii na utajiri wake kutoka uharibifu wowote au maangamizi, na kupiga kwa kali juu ya mikono ya wao wanaofikiria kuharibu kitu kutoka hazina za nchi hii, na tunapasa kuhifadhia jina la nchi na heshima yake na usalama wake na usitawi wake, na kuhifadhia mali ya umma na usafi na usalama wa huduma zote katika nchi kwani hizi huduma ni mali za wananchi wote, na hiyo yote ni maelezo ya kujinasibisha kihalisi kwa nchi, na  ni ufasiri wa kweli juu ya utiifu na upendo wa nchi nyoyoni.

Na kwa hivyo inabainisha kwa uwazi kwamba maadili ya kujinasibisha nchi ni maadili yanayojumuisha kila kinachohusiana na nchi kutoka karibu  na mbali, hayo yanajumuisha kila kinachoweza kwa mtu kufikiria kutoka juhudi zinazotoa kwa ajili ya maendeleo ya nchi na wananchi ili pendera yake inaendelea yenye utukufu na ujuu inawakilisha kiburi cha nchi na heshima ya wananchi.

Na inavyosemwa juu ya maadili ya kujinasibisha nchi, inasemwa pia juu ya kujinasibisha kwa ubinadamu kwa ujumla, na kujinasibisha kwa familia, na kwa kazi, na kwa akida, na kwa fikra ambayo mtu anaiamini, na kwa shule, na kwa chuo kikuu, na kwa taasisi ambayo mtu anaifanya kazi, na aina zote za kujinasibisha na utiifu zinateremka mwishoni katika mto wa kujinasibisha nchi basi zinauongozea mtiririko wake wa heri na maendeleo na ufanisi ambao unarejea kwa wote na maisha huria, yenye heshima na ufuraha kubwa na heri kuu, Na katika hayo washindanie wenye kushindana.

 

 

[1] ) Imepokelewa na Imam Ahmad katika Musnad yake, kutoka Hadithi ya Abdullah bin Adiy.

Print
Categories: Makala
Tags:
Rate this article:
4.0

Please login or register to post comments.