Wanadai .. Tunasahihisha

4

  • | Thursday, 9 June, 2016

•   Kufananisha vitendo vya wafuasi wa Daesh (wanaojidai ukhalifa) na ukhalifa wa kweli kunabainisha kuwa wale madaesh walikuja katika mkakati mbaya wa kuichafusha fikira ya ukhalifa ulioongoka na pia kuuchafusha urithi wa waislamu na kukataa uhusiano uliopo baina ya waislamu na dini yao ya Uislamu ambayo ndiyo dini ya kusameheana na kuhifadhi ubinadamu, ambapo makhalifa hawakuwaua wakazi wa kawaida wasio na hatia, wala hawakuwalazimisha wakazi wa eneo fulani wayaache makazi yao na ardhi zao, wala hawakuwakafirisha waislmau, wala hawakuvunja ahadi zao na wenyeji wa nchi na dini nyinginezo, vile vile hawakuhalalisha heshima za wanawake kwa kisingizio cha kuritadi na kukufuru, wala hawakuuza mabaki ya kale ya nchi walizoziingia, wala hawakuharibu staarabu, bali walifaidika wakanufaisha wala hawakufunga mwanamke nyumbani mwake, lakini aliweza kutoka na kujitokeza akajifunza na kufundisha….hakika waliyoyadai kundi hilo ni uwongo na ghushi ambayo haiwezekani kukubaliwa na wenye akili timamu.

Print
Tags:
Rate this article:
No rating

Please login or register to post comments.